Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Messages
389
Points
500

enery

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2015
389 500
Manchi ya kijamaa hua yapo hivyo viongozi wanatajirika ninyi akna kayumba mtakuwa masikini zaidi
NB,refer Tanzania ya 19980's
Ndugu yangu inatakiwa utumie akili mbadala kuzielewa nchi za kijamaa, unaweza hisi walioko katika system ndio wanfaidika kumbe laah hasha. Hizi nchi zinaendeshwa kwa usiri wa hali ya juu, na mara nyingi bajeti zao sio harisia wasomazo, waisomayo na wanayoitekeleza ni tofauti kabisa
 
enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Messages
389
Points
500

enery

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2015
389 500
Moja na tofauti ya nchi ya kijamaa ni huduma za kijamii, Urusi huduma za kijamii nyingi ni bure. Matharani Tz huduma pia za bure zipo, waweza kwenda hospitali huna hela na ukatibiwa ukalipa badae, nenda kenya uone kama utapata huduma yyt bila hela, na hilo ndo tofauti kubwa kati ya Tz na nchi nyingine Afrika. Rwanda Uchumi mzuri wa nchi je maisha ya mwananchi mmoja mmoja yakoje, hali kadhalika kenya uchumi wa nchi mzuri na fedha ina thamani, turudi kwa mwananchi mmoja mmoja maisha yao yakoje, wengi walio na uwezo wako Nairobi huko kwingine Mungu anajua. Tz unajenga nyumba na Gypus unaweka tena ya tofari za block unalalamika bado? Unatakiwa ukatubu kanisani, kwa maisha yako ungekuwa Kenya ungekuw ombaomba. Nchi ina neema sana na wananchi tuna raha za kutosha, tufanye kazi kwa bidii
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
Umaskini wa warusi ni sawa na Marekani? Maskini wa Marekani ana gari na uhakika wa kula hata Kama hana nyumba, Warusi wamepigika Kama watanzania
Ndio ulivyodanganywa hv na wale ambao wanalala nje kwa nn wasilale kwenye magari yao wakalala nje mvua jua baridi kiangazi masikaWamagharibi wamewafikisha huku
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
5,820
Points
2,000

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
5,820 2,000
Unaifahamu urusi au unaongea tu?warusi wamechoka, nguvu kubwa urusi wameweka kwenye ulinzi tu sio ustawi wa jamii. Nenda nchi za ulaya ukawaone warusi walivyojazana maana kwao hakukaliki,kitu ambacho huwezi kukiona kwa wa marekani.
Sasa mbona hata US ameweka nguvu kubwa kwenye ulinzi kuliko kitu kingine? Mind you zaidi ya 75% ya US national budget inepelekwa kwenye wizara ya ulinzi.

Kingine warusi kusambaa sehemu mbali mbali nje ya nchi yao na wamarekani kutokutoka ndani ya Taifa lao haimaanishi kwamba warusi ndio wana maisha ya tabu sana wakati huo wamarekani hawana maisha ya tabu. Hili suala la watu kutembea na kuishi nje ya Taifa lao linachagizwa zaidi na sababu za kitamaduni kuliko sababu za kiuchumi.

Mfano mzuri ni sisi hapa wabongo, hatuna kawaida ya kutembea na kutafuta ahueni ya maisha kwenye nchi za watu ilihali hapa kwetu wengi tuna maisha magumu, sasa kwanini hatutoki!? Sababu ya misingi fulani hivi ya kitamaduni tuliyojengewa, kama hali ya kiuchumi kwa wanainchi ndio ingekuwa sababu kuu inayowafaya nyumbani pasikalike, basi naamini leo hii sisi ndio tungekuwa wasafiri namba moja kwa hapa afrika mashariki.
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
5,820
Points
2,000

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
5,820 2,000
Mkuu uko Kazan unalalamika maisha magumu, Je ungekuwa Moscow ingekuaje?

Anyway, hv umetumia kipimo gani kulinganisha u ghali wa maji ukiwa Kazan na Dar mpk ufikie hatua ya kusema ni mara tatu? Ndy nyie mkiwa abroad mnafanya purchasing ya vitu lazima kwanza mui convert ile pesa ya sehemu husika kwenda pesa ya kibongo kisha ndy mfanye manunuzi....lakini ukweli utabaki kuwa hakuna mahali maisha yatakuwa marahisi kama hufanyi kazi au kujishughulisha na chochote.
Halafu pia wanachokosea hawa waswahili ni kufanya hiyo conversion of currency kisha kuhitimisha pasipo kuangalia vitu kama purchasing power, income per capita na consumer price index ya nchi husika.

Unakuta mtu huko Kazan labda katumia huduma ya maji ambayo gharama yake kwa wiki ni Russian ruble 8,000 sasa akija kui-convert kwenye hela ya kibongo akapata 311,000/= anaanza kushangaa na kuona maisha ya huko ni gharama sana kulinganisha na ya Tanzania kisa tu hela aliyotumia kulipia bili ya maji ya wiki moja kwa huku bongo ingeweza kuwa hata ni bili ya maji kwa mwaka mzima.

Anasahau kwamba uwezekano wa mrussia kuipata ruble 8,000 huko kwao ni mkubwa na wala sio kitu cha kuwaza kuliko mbongo kuipata shilingi elfu 20 hapa bongo.

Anasahau kwamba kwa sababu za kimazingira na mfumo mzima wa kiuchumi wa huko Russia gharama kama hizo ni ndogo kwa mrussia mwenye kipato cha kawaida.

Anasahau kwamba yawezekana kulingana na general price level ya huduma mbali mbali za kijamii serikali umeona ni sawa tu kupanga hicho kiasi kma ada ya huduma ya maji.

Waswahili tunapenda kuishi kwa mazoea pasipo kutafakari.
 
Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,178
Points
2,000

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,178 2,000
Kujifanya unaijua sana nchi nyingine pia ni uzwazwa fulani, Inawezekana ni kweli Urusi sio nchi iliyostawi sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja lkn sio kama unavyoingolea kuwa imechoka sana, kumbuka Urusi kabla ya kusimamishwa 2014 ilikuwa ndani ya G8(Most industrial countries) hata hivyo per capital income ya urusi sio mbaya sana.La mwisho kila nchi ina maskini sio urusi tu
Urusi ilikuwa kwenye G8 Sabuni Ya stock ya silaha zake na sio kwa sababu ni tajiri!
 
Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,178
Points
2,000

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,178 2,000
Mambo mengine kama hujui unakaa kimia kuliko kujifanya unajua alafu ukaonekana kama kituko mbele za watu.
G8 na mambo ya kijeshi wapi na wapi ?
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
 
RTI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
463
Points
1,000

RTI

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
463 1,000
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
6,010
Points
2,000

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
6,010 2,000
Kujifanya unaijua sana nchi nyingine pia ni uzwazwa fulani, Inawezekana ni kweli Urusi sio nchi iliyostawi sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja lkn sio kama unavyoingolea kuwa imechoka sana, kumbuka Urusi kabla ya kusimamishwa 2014 ilikuwa ndani ya G8(Most industrial countries) hata hivyo per capital income ya urusi sio mbaya sana.La mwisho kila nchi ina maskini sio urusi tu
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000

Watanzania ni watu wagumi sana kuelewa.katika nchi iliyoendelea kiviwanda uwezi ukaiyacha Urusi ndugu hata siku moja.yani utatowa nchi zote hapo ila sio Urusi
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
Mi navyojua katika sekta ya viwanda ni Marekani na Urusi ndo wenye sekta iyo ya viwanda.warusi wana viwanda vya kila kitu kwao.yani takataka za kila aina zinatengenezwa Urusi
 
Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
Unaifahamu urusi au unaongea tu?warusi wamechoka, nguvu kubwa urusi wameweka kwenye ulinzi tu sio ustawi wa jamii. Nenda nchi za ulaya ukawaone warusi walivyojazana maana kwao hakukaliki,kitu ambacho huwezi kukiona kwa wa marekani.
Pia umjuze sababu za mtu kuwa homeless huku America
 
Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
Kujifanya unaijua sana nchi nyingine pia ni uzwazwa fulani, Inawezekana ni kweli Urusi sio nchi iliyostawi sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja lkn sio kama unavyoingolea kuwa imechoka sana, kumbuka Urusi kabla ya kusimamishwa 2014 ilikuwa ndani ya G8(Most industrial countries) hata hivyo per capital income ya urusi sio mbaya sana.La mwisho kila nchi ina maskini sio urusi tu
America got no bums men
 
Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
Mimi nachojua wamarekani milioni 40 ni masikini hoehoe na wanaishi kwa msaada wa kupewa chakula,,kuna wanaolala kwenye mabox,ubavuni mwa maduka,kwenye magari etc,
as kwa Russia sijapata kuona kuna warusi wanaishi kwa msaada wa chakula cha serikali hata watano,
sijapata kuona watu wakilala kwenye mabox huko Russia,
so hapa maana ya masikini sijui ni ipi hasa
Have you ever been in America?
 
Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
Mkuu huo uchokaji wa urusi unaweka katika level gani? Yani ni kama sisi huku au ni aje? Nijuavyo mimi ni kuwa 'gap' kati ya tajiri na masikini nchini Urusi huwa kubwa mno, yani ukikuta mtu tajiri urusi ni tajiri haswa na Maskini anakuwa maskini LKN, tofauti ni kwamba Urusi kuna mfumo mzr sana wa huduma za jamii pengine klk nchi yyt iliyoendelea.
Huu mfumo mzr wa huduma za jamii ndy umekuwa ukiwasaidia sana wananchi wenye kipato cha kati na chini. Urusi ina huduma bora na nafuu ya usafiri hasa ktk majiji makubwa ambapo ndipo kwenye idadi kubwa ya watu, majiji kama Moscow, St. Petersburg, Nizhniy Novgorad, Ekaringurg n.k yamekuwa na huduma nzr na nafuuu za usafiri wa Metro, Tram, Trolleybus, n.k. klk Metropolitan yyt duniani. Tofauti na Marekani na nyingine Ulaya
Huduma za afya za Miji mingi ya Urusi imekuwa ni rahisi na nafuu sana. Hospital za serikali zipo za kutosha na wataalam tele. Urusi Mtu ukizidiwa ndani kwako, unapiga 03, kisha baada ya muda mfupi ambulance itakuwa mlangoni kwako kukutibia bureeee...hata kama hauna health insurance, na kama itahitajika upelekwe na hy ambulance Emergency room, itafanya hvy bila malipo yyt. Sasa usije ukarogwa upate dharula ya kiafya ukiwa US kisha upige 911, aisee hy bill utakayotajiwa utarudi tena kulazwa kutandani.Kitu kama hili huwezi kukikuta ktk nchi kama US, UK na the likes, sababu kule kila kitu ni pesa, tena sy ndogo.
Sasa achana na umeme ambao wanalipa pesa ndogo mnooo, sababu upo wa kumwaga, maji nchini Urusi yamekuwa yakipatikana 24/7 , huwa yanafungwa week 1 tu katika mwaka ili kufanya matengenezo ya mabomba yao,
tena ni maji ya moto yanayofungwa.
Sasa kwa muktadha huo hapo juu, unasemaje Serikali ya kirusi imewekeza nguvu zake kwenye Nguvu za kijeshi tu na kuwasahau wananchi wake?, Ni kweli Urusi ni 'one of the super power when it comes to military strength', lkn pia iko vzr sana ktk kuangalia ustawi wa wanachi wake. Usilolijua ni kuwa katika nchi zenye ubepari 100% wanachi wake wana maisha magumu mnooo, klk nchi zilizokuwa na chembechembe za ujamaa Urusi ikiwemo. Urusi mpk Leo wazee wana vitambulisho maalumu vya kupata punguzo la huduma mbalimbali za jamii, hii kitu huwezi kuta Ulaya Magharibi au US. Sitaki kbs nikugusie sekta ya elimu.
Ushauri wangu, muwe mnajitahidi binafsi kutafuta habari juu ya jambo fln ktk sources huru zisizokuwa na bias ya aina yyyt , na kuacha kuwa brainwashed na vyombo vya Magharibi
]Unadanganya unafahamu kupata tiba mgonjwa wa cancer anachukua muda gani?
Jambo zuri na nafuu Urusi ni upatikanaji wa Internet tena 4G kila sehemu hata maporini nilikuwepo wakati wa WC mwaka jana
 
Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
Mkuu uko Kazan unalalamika maisha magumu, Je ungekuwa Moscow ingekuaje?
Anyway, hv umetumia kipimo gani kulinganisha u ghali wa maji ukiwa Kazan na Dar mpk ufikie hatua ya kusema ni mara tatu? Ndy nyie mkiwa abroad mnafanya purchasing ya vitu lazima kwanza mui convert ile pesa ya sehemu husika kwenda pesa ya kibongo kisha ndy mfanye manunuzi....lakini ukweli utabaki kuwa hakuna mahali maisha yatakuwa marahisi kama hufanyi kazi au kujishughulisha na chochote.
Karibu Hawaii siku moja uje ujionee
 
Forum statistics

Threads 1,343,529
Members 515,077
Posts 32,787,751
Top