Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
225
Points
250

Takakeisho

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
225 250
seriously Russia in homeless 64000 wakati US ni 550,000 kwa mujibu wa wikipedia,lakini Russia kuna centre za kuhudumia hawa homeless pa kulala,maji moto,chakula etc,
lakini wakati huouo marekani watu milioni 40 wanaishi kwa msaada wa chakula ,food stamp
Unajua kwanini U.S kuna homeless na kwanini wengi wao ni African-American?
 
mps

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
292
Points
500

mps

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
292 500
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
Mkuu sijasoma sana history wala sina umri huo uliotaja, ila nachojua kabla ya Urusi kuingia mwaka 1997 ilikuwa G7, na kabla ya Canada kuingia mwaka 1976 ilikuwa inaitwa group of six. Huo uanachama wa USSR sijawahi kuusikia isipokuwa nilisikia EU ndo ilipewa uanachama japo haikuwa na haki kama wa wanagroup wengine ie. Kuandaa mkutano wa kilele na kuongoza mkutano.I stand to corrected and I humbly submit
 
mps

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
292
Points
500

mps

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
292 500
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
Hahaaa nguvu za kijeshi kivipi mkuu, G8 ni nchi zilizostawi kiviwinda haihusiani na nguvu uliyonayo kijeshi.Hata hivyo toka hiyo G6 iundwe 1975 mpaka sasa mabadiliko ulimwenguni kuhusu viwanda ni makubwa, huenda ikiundwa upya leo hii kuna nchi hapo zitasepeshwa na nafsi zao kuchukuliwa na nchi nyingine
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
Bado 2nasafari ndefu sana mkuu
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
6,010
Points
2,000

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
6,010 2,000
Mi navyojua katika sekta ya viwanda ni Marekani na Urusi ndo wenye sekta iyo ya viwanda.warusi wana viwanda vya kila kitu kwao.yani takataka za kila aina zinatengenezwa Urusi
Not sure na siwezi pia kubisha katika hili cause sina uhakika but may be the question is; kwanini wametolewa kwenye vile vikao vya fitina vinavyo panga namna ya ku run dunia, yaani G 8?
 
Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,178
Points
2,000

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,178 2,000
Pumba ina maana kua na stock ya silaha ni kigezo cha kuingia kwenye G8

Una elewa malengo na muundo wa G8

Wabongo 2nakwamia wapi sijui
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
6,010
Points
2,000

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
6,010 2,000
Watanzania ni watu wagumi sana kuelewa.katika nchi iliyoendelea kiviwanda uwezi ukaiyacha Urusi ndugu hata siku moja.yani utatowa nchi zote hapo ila sio Urusi
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
 
Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,178
Points
2,000

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,178 2,000
Pumba ina maana kua na stock ya silaha ni kigezo cha kuingia kwenye G8

Una elewa malengo na muundo wa G8

Wabongo 2nakwamia wapi sijui
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
Kwanza nambie awali ya yote walitumia ama wanatumia kigezo gani chakua mwanachama na wanatumia kigezo gani cha kukuvua uana chama na kwa nn wanakuvua uanachama
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
Walimtoa mwaka 2014 baada ya kunyakuwa jimbo la crimea kinguvu na pia kuwasaidia waasi wa ukraine kwenye majimbo ya donesk na luhansk
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
Mkuu iyyo USSR wala haijawai kuwepo kwenye G8.G8 imeanzishwa mwaka 1997 ila kabla ya hapo ilikuwepo G7 yani (France, UK, Canada, Itary, USA, Germany, Japan) ambayo nayo ilianzishwa mwaka 1975 kabda ya hapo ilikuwa G6(France, USA, UK, Japan, Itary na Germany)
 
Forum statistics

Threads 1,343,529
Members 515,077
Posts 32,787,850
Top