RIP :rain::rain:
RIP :rain::rain:
Nyongo inanipanda kusikia viongozi wetu wanakwenda kutibiwa nje ya nchi, ninatamani hata Mungu awalaani wafie huko huko kwani wanatumia ma-milioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya matibabu nje ya nchi wakati wangeweza kujenga hosipitali hizo nchini kwetu kwa faida ya Watanzania wote !!! Kwa nini hamfi mapema ili waje viongozi wenye uchungu na nchi yao watakaojenga hosipitali hapa nchini zitakazowafaidisha watanzania wote ????
Sawa sawa! vip why not Muhimbili mpiganaji wa enzi hizo?? Sawasawa??
RIP :rain::rain:
RIP :rain::rain:
wengine hawajengi hata nyumba za kufikia huko makwao unadhani watawajali maskini waliowazunguka??Nyongo inanipanda kusikia viongozi wetu wanakwenda kutibiwa nje ya nchi, ninatamani hata Mungu awalaani wafie huko huko kwani wanatumia ma-milioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya matibabu nje ya nchi wakati wangeweza kujenga hosipitali hizo nchini kwetu kwa faida ya Watanzania wote !!! Kwa nini hamfi mapema ili waje viongozi wenye uchungu na nchi yao watakaojenga hosipitali hapa nchini zitakazowafaidisha watanzania wote ????