Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

Utaweza kuishi Scandinavia kweli kama Mbeya pamekushinda
 
Mbeya hajuwafai nyie wenye Afya ya mgogoro.

By the way watu wanaoishi maeneo ya joto wanazeeka haraka kuliko tunaoishi Kanda za baridi.

Bora Dodoma Sasa nayo ipumzike maana wanaume wa Dar Kila kitu ni malalamiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…