Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,947
- 92,557
Habari za Sabato!
Kwa kweli hali ya hewa ya jiji la Chalamila inashawishi sana.
Nawasiliana na wanasheria wananiambia hapa kuwa leo ukifanya makosa sheria zitaangalia. Sasa sijajua kama ni kweli au laa. Maana hawa Wanasheria siku hizi wa ChatGPT wanaweza kukuingiza mkenge ukabaki unabung'aa.
Hali ya hewa inashawishi. Na nimeshawishika.
Hallelujah
kama ukipata wasaa. Na uko karibu na bahari. Basi Unaenda kufanya mazoez na kunyosha viungo.
au hata Jogging Mbili tatu barabarani.
Na kwasababu hali ya hewa inashawishi kuchangamsha mwili.
Basi wale wanaofanyaga mazoezi kwenye uwanja mdogo wa 6×6 wapige simu kuset mazingira na mwenza wao 😊😊😊😊.
Hii Hali ya hewa ya kuagiza mzigo
Mtibeli amepotoka … hakuna maelezo mengine zaidi ya haya
Inashawishi kitu gani bwashee?
Mm niko Mikochen sasahiv. Hakuna manyunyu. Hakuna mvua. Ila kuna dalili ya mvua.Na haya manyunyu kukimbia barabarani ni uongo.
Wataalam wa hali ya hewa hawajashauri chochote siku ya jana?
Serikali iwe makini na wafanyabiashara wasije kupandisha bei ya Parachute na Rough Rider.
Sipo dar mkuu, hali ya hewa Ipoje kwaniWewe si ni Doctor, tueleze hali kama hii kimwili nini kinaenda kutokea. Watu wajidhatiti.
Saidieni nchi hata kwa ushauri.
Bei ya bidhaa leo imepanda
Tena mzigo wa CBM yakutoshaSilent ocean watahusika hapa
Sipo dar mkuu, hali ya hewa Ipoje kwani
Tena mzigo wa CBM yakutosha