Hali ya Hewa Tulivu Dar es salaam kama Moscow Russia vile

Huku Posta watu wembamba wanatembea huku wanayumba yumba kama walevi. Wale walio wanene ndio wanatumia fursa kujipatia kipato. Unamshikilia ili usipeperushwe mpaka mnafika mlangoni mwa ofisi yako ndo unampa chake.
Duuuh😃
 
Yes my dear, kutoka kwa Mola wangu kwa kuiumbia mema nchi yangu, walahi
Hiyo nchi nani alikupa wewe?Au unazungumzia mipaka ya Berlin 1885 Africailipogawanywa?Utumwa wa akili ndo adui yenu mkubwa!Unajidai kujuwa kumbe mtutpu kama kopo la chooni. Hiyo mipaka uliweka wewe?Hiyo nchi ulijipangia wewe hiyo mipaka?Hujui unachoongea mental slave.
 
Wakuu naona tokea jana hali ya hewa ya Dar imebadilika gafla na kuwa kama Moscow Russia

Mliopo dar hebu tujuzane pande mlizopo hali ya hewa ipo vipi bila kuwasahau wa mikoani pia.
Kufananisha dar na Moscow ni saw a na kufananisha mavi nabpila
 
Huku Posta watu wembamba wanatembea huku wanayumba yumba kama walevi. Wale walio wanene ndio wanatumia fursa kujipatia kipato. Unamshikilia ili usipeperushwe mpaka mnafika mlangoni mwa ofisi yako ndo unampa chake.
Ndio maana kuanzia leo safari za boti Dar Zanzibar zimesitishwa.... inaonekana kuna machafuko wa bahari.!
 
Back
Top Bottom