Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,801
Yani omba hii kitu isikukute..moyo unaweza kutoka unajiona haha
Je Sisi Ambao Tunatoka Tanzania Hadi U S A Hatuongei Tumetulia Zetu Huku! Wew Itakuwa Ni Mhaya
Yani omba hii kitu isikukute..moyo unaweza kutoka unajiona haha
mkuu, Mwanza - Dar fastjet nauli ni sh. ngapi? Msaada please!
Je Sisi Ambao Tunatoka Tanzania Hadi U S A Hatuongei Tumetulia Zetu Huku! Wew Itakuwa Ni Mhaya
Bila kusahau "muda"usafiri wa ndege ni usafiri wa kawaida kama usafiri mwingine kama treni, bus, meli, bodaboda, baiskeli, bodaboda au farasi maana zote lengo lake ni moja kumsafirisha abiria kutoa point A kwenda point B basi, tofauti yake ni uharaka tu.
Pole sana, kuwa tayari kufa wakati wowote
umemtabiria....!?
Acha ujinga.we unaona big deal..kueni jamani..we unanijua mimi?! Usiseme bila ya kuwa na proof..mfyuu
Hivi wewe unafikiri wote tuna akili kama zako..we unanijua mie au...unajifanya much know hata penye utofaut acha hizo..nani ambaye hajui hizo turbulence nani..acha ujinga..unajua zilikua za kiasi gani..umeniboa sana utafikiri nakujua..sio lazima kucomment..watz noma sana
Ndege ilikwama kwenye tope?Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya acheni! Nimesafiri Mwanza-Dar na fast jet ndo tumetua.
Tumeshake balaa kama nusu saa hivi jamani yani watu wote ungewaona acha..
Lakin namshukuru Mungu tumetua salama ila cha moto tumekipata leo. Sitasahau.
Je Sisi Ambao Tunatoka Tanzania Hadi U S A Hatuongei Tumetulia Zetu Huku! Wew Itakuwa Ni Mhaya
Mwanza hali ya hewa leo kama ulaya
"Tafwadhari bhwana, wahaya hatupandi ndege cheap! ":A S wink:
asavali umeliona hilo. mhaya gani atapanda ndege ya elfu 30!
Tafwazali buana, in fuakti , you are right!!"si ndio hapo, mimi msomi wa Phd toka Havwaad, MA toka Oxfwod, BA toka Stanfwod, Diploma toka....nitapandaje Fwast jet? unigambire stupid? kama Precision yenye bei ya juu kuliko zote haipo, si bora ninge-drive my Range rover autobiography 2014, sio ile nyekundu, bali ile white yenye full android win 8 touch screen, niliyonunua dukani London, nilipokuwa nimekwenda kumsalimia mwanangu mutta anayesoma chekechea pale Eton college? Au wewe unaonaje?
Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya acheni! Nimesafiri Mwanza-Dar na fast jet ndo tumetua.