Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 423
Mkuu mimi nipo hapa Shinyanga na mvua inanyesha sana tangu mchana wa saa 7 hadi usiku huu.salamu sana wakuu siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu embu 2pe update za hali ya hewa hapo uliponawasilisha
Niko Njombe manyunyu yaliitwanga mchana kutwa sasa kuna kibarid lazima utupie blanket
dah!na hili joto la bongo nakuonea wivu!mamaa yupo pembeni hapo bila shaka..!
Niko Njombe manyunyu yaliitwanga mchana kutwa sasa kuna kibarid lazima utupie blanket
Huku mvua imenyesha!