dada g hebu niambie
kipi nilikoment kibaya ulipoanzisha
post mpaka huyu mtu kuja kuniquote na kunitukana?
inatia hasira halafu anajiona mwerevu,na kujifanya
c mkosaji!!apeleke utoto wake panapostahili,kila mtu
anacomment anachojiskia na hakulazimishwa kuni
quote y?huku tunajifunza na c watu kuja na stress
za mtaani kumaliza hasira kwa wengine!!ila nimekuelewa!!