nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Mkuu mvua inakunyevuanyevua nn?
jukwaa la love connect litakuwa busy sana leo
Pole sana mkuu
Imenichapa kinoma pande za bunju. Mpaka nikamkumbuka mama yoyooo
Unamkumbuka mkeo kwa sababu ya Mvua??? SoB!!
Thread yako ina-assume kwamba wanaMMU wote wanaishi Dar. Too sweeping assumption!Hbr ya asubuh wanajf
Natumaini mmeamka salama na tyr kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake kulijenga taifa letu.
Wagonjwa poleni sana, nawaombea kwa Mungu mpone haraka. Pia zingatieni ushauri wa kitabibu.
Nikirudi kwenye mada, nina swali kwenu nyote. Kwa hali ya hewa ya dar Leo hii ( ubaridi), unadhani thread za ukarasa huu Leo zitakuwa na uelekeo gani?
Nawasilisha!
Thread yako ina-assume kwamba wanaMMU wote wanaishi Dar. Too sweeping assumption!
Unamkumbuka mkeo kwa sababu ya Mvua??? SoB!!
ha ha ha ha,kumbe nawe umeshangaa kama mimi,so wakat wa joto anamuweka pending
Hivi mtu unapo sema Dar kuna baridi, mngekuwa kule Iringa si mngebakana kabisa? Binafsi sioni tofauti yoyote kwamba naweza kuhamasika kingono!
Unamkumbuka mkeo kwa sababu ya Mvua??? SoB!!
Imagine wakiishi maeneo ya jangwa?