Hali ya hewa chuo cha serikali za mitaa - hombolo bado ni tete

ulanzi

Member
Nov 29, 2011
8
0
Baada ya kutoa shutuma kwa mkuu wa chuo kuwa anawanyanyasa, Chuo cha hombolo kinakabiliwa na janga jingine la UNYAKYUSA
 
Namaanisha kuwa baada ya kuondoka Dr Kisusu, sasa hivi kuna mtandao wa watu wa nyanda za juu kusini. Natabiri vurugu tena
 
Namaanisha kuwa baada ya kuondoka Dr Kisusu, sasa hivi kuna mtandao wa watu wa nyanda za juu kusini. Natabiri vurugu tena

Rais ajaye atatoka Kaskazini


Alipoondoka Prof.Luhanga UDSM Wahaya wakajenga mtandao.
Alipoondoka Mkapa Ikulu Wakwere wakajenga mtandao.
Alipoondoka Ulanzi kwenye kitindi Nyuki wakajenga mtandao

Endelezeni hapa mnaopenda Pumba kama za huyu Ulanzi wa juzi aka Mkangafu(NB:mimi sipendi pumba ila hasira zimenipeleka hapa)
 
Weka data zinazoelewa, hii sentensi moja haitoshi watu kujadili hoja yako, ongezea nyama. Mtandao upi? weka vielelezo vya hao wanyakyusa, vyeo vyao na wadhifa walio nao hapo n.k


Il Gambino.
 
Kama ulivyoainisha Linyakalumbi, ni mfano mzuri kuwa sasa ukabila unaitafuna nchi. Kama utakavyoitafuna HOMBOLO.
 
Jamaa kama jina lake,atakua amelewa ulanzi.Weka habari kamili na ushahidi wa mambo.Umekunywa mdindifu au mkangafu? aina za ulanzi hizo jamani kwa ambao hamjaelewa
 
Back
Top Bottom