Hali ya hatari Ethiopia, tuna la kujifunza?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,116
Reaction score
5,119
Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya dharura kwa miezi sita.

Tangazo hilo limetolewa baada ya miezi kadha ya maandamano dhidi ya serikali, yaliyofanywa na makabila mawili makubwa ya Ethiopia ya Oromo na Amhara.

Makabila hayo yanalalamika kuwa yametengwa kiuchumi na kisiasa.
Ghasia baina ya waandamanaji na polisi zilizidi tangu watu 55 walipokufa katika sherehe za kitamaduni za Oromo, Jumapili iliyopita.

Mashirika ya kutetea haki za kibinaadamu yanasema, mamia ya watu wameuawa, na maelfu kukamatwa tangu maandamano yalipoanza

Chanzo: BBC

==================
Nimesikia leo kuwa Ethiopia imetangaza hali ya hatari baada ya maandamano yaliyosabbisah vifo vingi.
Ethiopia ni nchi amabyo imepigiwa mfano katika maendeleo na juzi juzi walisifiwa sana hapa jukwaani.
Tuna cha kujifunza?
Usiku mwema.

Mada hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.

Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

ujifunze nini hapo sio kila kitu tunajifunza kitu
Nimesikia leo kuwa Ethiopia imetangaza hali ya hatari baada ya maandamano yaliyosabbisah vifo vingi.
Ethiopia ni nchi amabyo imepigiwa mfano katika maendeleo na juzi juzi walisifiwa sana hapa jukwaani.
Tuna cha kujifunza?
Usiku mwema.
 
Nimesikia leo kuwa Ethiopia imetangaza hali ya hatari baada ya maandamano yaliyosabbisah vifo vingi.
Ethiopia ni nchi amabyo imepigiwa mfano katika maendeleo na juzi juzi walisifiwa sana hapa jukwaani.
Tuna cha kujifunza?
Usiku mwema.
Yalikuwa maandamano ya nini, hao waliokufa ni kwa kukosa hewa au ni kukanyagana kulikochochowa na taharuki ya mabom ya machozi.
 
Nasikia kaskazin mwa Kenya na kusini kwa Ethiopia ni eneo lisilo salama. Wababe wa vita wamejaa tele. Kutembea kwa gari Nairobi mpaka Addis Ababa ni kama haiwezekani. Ni kame eneo hilo pia.
 
Ethiopia wako kikoo au kikabila zaidi. Kupigana kati yao kupo sana tu
 
Nimesikia leo kuwa Ethiopia imetangaza hali ya hatari baada ya maandamano yaliyosabbisah vifo vingi.
Ethiopia ni nchi amabyo imepigiwa mfano katika maendeleo na juzi juzi walisifiwa sana hapa jukwaani.
Tuna cha kujifunza?
Usiku mwema.
Ndiyo tunacho ,, tuachane na kushabikia maandamano ya kijinga
 
Nimesikia leo kuwa Ethiopia imetangaza hali ya hatari baada ya maandamano yaliyosabbisah vifo vingi.
Ethiopia ni nchi amabyo imepigiwa mfano katika maendeleo na juzi juzi walisifiwa sana hapa jukwaani.
Tuna cha kujifunza?
Usiku mwema.
Nchi za Magharibi hazitaki kuiona nchi yeyote ya kiafrika ikipiga hatua. Ethiopia ni nchi iliyo mbele sana kimaendeleo na kiuchumi, sasa hilo kabila la Oromo litatumiwa na majasusi wa nchi za Magharibi kuleta machafuko ili uchumi wa Ethiopia uharibike.
 
Ethiopia ni kama nchi inayotawaliwa na jeshi, jeshi likilegeza kamba kidogo tu hiyo nchi haikaliki, watu wake hawako satisfied na maisha wanayoishi.
 
Mbona South Afrika,Bostwana,Lushoto,Tanzania,Uganda na nchi nyingi zipo na maendeleo lakini nchi zenye madikteta uchwara ndio fujo hutokea.
 
Ethiopia ni kama nchi inayotawaliwa na jeshi, jeshi likilegeza kamba kidogo tu hiyo nchi haikaliki, watu wake hawako satisfied na maisha wanayoishi.
Mkuu kuna watoto wakali sana hio nchi nimetembea kila kona macho na mate yananitoka. Hela tu unakula mtoto wa kihabeshi matata sana😉
 
Siasa za wahabeshi ni tofauti na za kwetu,wao kabila ni kila kitu,yaani kabila kwanza dini na utaifa baadae,kinyume cha hapa kwetu tanzania.waithopia kwa ujumla wamekuwa vitani wao kwa wao takriban miaka elfu tatu.
 
Mkuu kuna watoto wakali sana hio nchi nimetembea kila kona macho na mate yananitoka. Hela tu unakula mtoto wa kihabeshi matata sana😉
Halafu baadae ukianza kupanga foleni ya ARV unaanza kulalamikia serikali oo haitujali oo dawa zimechelewa.
 
Kulalamikia serikali kwa dawa utailalamikia wewe sisi wengine hutibiwa India mkuu.
 
Alaa kumbe ndo maana unawashauri watz wenzangu,wakafanye shopping ya virusi.
 
Back
Top Bottom