[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu baadae ukianza kupanga foleni ya ARV unaanza kulalamikia serikali oo haitujali oo dawa zimechelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu baadae ukianza kupanga foleni ya ARV unaanza kulalamikia serikali oo haitujali oo dawa zimechelewa.
....Halafu baadae ukianza kupanga foleni ya ARV unaanza kulalamikia serikali oo haitujali oo dawa zimechelewa.
Mkuu hakuna ukimwi wala nini, siku nitakayo muona shetani ndio nitaamini kama yupo. Magic Johnson mpaka leo anaishi na ukimwi lakini njaa ndio inauwa sio ukimwi.Alaa kumbe ndo maana unawashauri watz wenzangu,wakafanye shopping ya virusi.
....Mkuu hakuna ukimwi wala nini, siku nitakayo muona shetani ndio nitaamini kama yupo. Magic Johnson mpaka leo anaishi na ukimwi lakini njaa ndio inauwa sio ukimwi.
Nyie kila kitu ni nchi za magharibi tufike kipindi watu weusi aibuNchi za Magharibi hazitaki kuiona nchi yeyote ya kiafrika ikipiga hatua. Ethiopia ni nchi iliyo mbele sana kimaendeleo na kiuchumi, sasa hilo kabila la Oromo litatumiwa na majasusi wa nchi za Magharibi kuleta machafuko ili uchumi wa Ethiopia uharibike.
Bro nchi ngapi za kiafrika zimekuwa failed states sababu za hawa so called champion of democracy.Nyie kila kitu ni nchi za magharibi tufike kipindi watu weusi aibu
Aliyekudanganya nani, zamani hapakuwa na barabara ya uhakika, Sasa Kuna rami Nairobi to Ethiopia tena upana wake ni 8meters, huwezi kuringanisha na hizi zetu za 6metersNasikia kaskazin mwa Kenya na kusini kwa Ethiopia ni eneo lisilo salama. Wababe wa vita wamejaa tele. Kutembea kwa gari Nairobi mpaka Addis Ababa ni kama haiwezekani. Ni kame eneo hilo pia.
Tunapenda sana kulaumuNyie kila kitu ni nchi za magharibi tufike kipindi watu weusi aibu
Wewe kweli umejifunza.Mkuu kuna watoto wakali sana hio nchi nimetembea kila kona macho na mate yananitoka. Hela tu unakula mtoto wa kihabeshi matata sana😉
Acha itikadi za ki ccm wewe, Kama wangekuwa na uchumi mzuri hao Ethiopia Kwa nini kila Siku wanaikimbia nchi yao ktk mazingira magumu Sana ya kuhatarisha maisha yao wenyewe?Nchi za Magharibi hazitaki kuiona nchi yeyote ya kiafrika ikipiga hatua. Ethiopia ni nchi iliyo mbele sana kimaendeleo na kiuchumi, sasa hilo kabila la Oromo litatumiwa na majasusi wa nchi za Magharibi kuleta machafuko ili uchumi wa Ethiopia uharibike.
Acha akili za kijinga wewe, Ethiopia haihujumiwi na nchi za Magharibi bali hujuma inatoka Misri na Elitrea. Na cha pili ukweli ni kwamba uchumi wa Ethiopia upo hazina, Benki kuu na kwenye takwimu na sio katika maisha ya raia wake na ndio maana daily wanatorokea South Africa.Nchi za Magharibi hazitaki kuiona nchi yeyote ya kiafrika ikipiga hatua. Ethiopia ni nchi iliyo mbele sana kimaendeleo na kiuchumi, sasa hilo kabila la Oromo litatumiwa na majasusi wa nchi za Magharibi kuleta machafuko ili uchumi wa Ethiopia uharibike.
wewe ndo unasema hvyo..ila waziri wao wa mambo ya usalama aliilaumu misriNchi za Magharibi hazitaki kuiona nchi yeyote ya kiafrika ikipiga hatua. Ethiopia ni nchi iliyo mbele sana kimaendeleo na kiuchumi, sasa hilo kabila la Oromo litatumiwa na majasusi wa nchi za Magharibi kuleta machafuko ili uchumi wa Ethiopia uharibike.
Asante kwa kumjibu huyo Boya. Na cha kuongezea anatakiwa ajue Maendeleo ni Hali na sio Vitu. Ila sishangazwi na wanaume wa Dar kwakua wao husifia Maghorofa na mahoteli makali ilhali wao hawajawahi hata kuingia kwenye hizo ghorofa achana na kufanya kazi, kula au kulala humo.Acha itikadi za ki ccm wewe, Kama wangekuwa na uchumi mzuri hao Ethiopia Kwa nini kila Siku wanaikimbia nchi yao ktk mazingira magumu Sana ya kuhatarisha maisha yao wenyewe?
kila leo wanafia mipakani na kwenye malori Kwa kukosa hewa.
Ulishawahi kuwaona wenye uchumi mzuri Kama, wajapan, waingereza, wafaransa, wa Italy, Wamarekani, Wajerumani na nk wakikimbia nchi zao na kufia barabarani?
Uchumi wa nchi za Africa unakua Kwa maneno Kama wa ccm Kwa Tanzania na siyo ktk hali halisi.
He is a special kind of brainwashed loser, jamaa anaamini kila kitu kibaya kinatokana na hujuma na sio amakosa ya wahusika. And i bet atakua shabiki wa Simba wa matopeni kwakua wao huamini katika uchawi na hujuma na sio katika kuwajibika.Nyie kila kitu ni nchi za magharibi tufike kipindi watu weusi aibu
Ki vipi mkuu?Wewe kweli umejifunza.