HALI ya DR Slaa IKOJE?

kumbe aliyezimwa ni slaa?? sikujua maana nilijua walionyimwa haki ni wananchi wa arusha
 
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??

Akili zako ni "SHAKE WELL BEFORE USE". Ulirukaruka kuchanganya akili kabla ya kuandika hii thread?
 
Du! Kama Slaa ana nguvu kiasi cha kutisha hivyo, itakuwaje wananchi kwa ujumla wakiamka.
'its possible, play your part'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…