Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,020
- 156,472
Vita ni sanaa
Hapa cc tunachokitaka watwanganeMkuu yule siyo uchwara futa kauli wanaenda kuzi park tu hizo meli za urembo mamaeee siyo arabuni kule waguse waone!!
wekee mziki achani maneno!!!Mapovu yako hayasaidii apo ni mwendo wa kutembeza kichapo tu kwa kim
wekeeni mziki achani maneno!!!Mapovu yako hayasaidii apo ni mwendo wa kutembeza kichapo tu kwa kim
wekeeni mziki achani maneno!!!Mapovu yako hayasaidii apo ni mwendo wa kutembeza kichapo tu kwa kim
Ukisimaa nchale ukikaaa nchale waje waje mbona mameno si tumejaribu juzi tu siwalisema tumehofia kujribu tumejaribu sasa waje!!We mmakonde upo porini huko mtwara, alafu unaongea as if upo kwenye jeshi la kiduku.
naunga mkono hojaMarekani akimalizana na Kiduku, aamie Tanzania maana kuna mgambo uchwara anatusumbua
Hhhhhhhhhhhhh Yani mtu Kafika chumbani kwako unasema ajaribu kumgusa mama anjela kweli...hii si ni njia ya kuufyata hana Kim Kama kidume amtoe mwizi ndani mwake.
Ndonga zipi Sasa, yake maplastiki fake mloonesha km siraha Wakati wa siku ya juaTeam north tunasemajee hata wakinyoana ndevu zao kwenye ma aircraft carrier yao zikiletwa hata na upepo na maji kwenye mpaka wetu sisi tutarusha ndonga nzito nzito hata wakipiga kelele sauti zao zikivuka tu tunao ............
ThubutuWaje wasiende kuzi park tena huko south korea bandari tupo tayari tunasubiri wao warushe ata jiwe la mkono mamaeee tunaihamisha south korea na japan kwa sekunde !!! Kama hamja nunua agari ya Toyota nunuweni kabisa yatapanda bei manaa hayatakuwepo kabisa
UTAWALA WA MAYANKING HAUTOWEZA KUITAWALA DUNIA- HUGO TEVESTeam Kiduku mnasemaje hapa
Hahahah mwishoni hapo nimepapenda...!!!!Waje wasiende kuzi park tena huko south korea bandari tupo tayari tunasubiri wao warushe ata jiwe la mkono mamaeee tunaihamisha south korea na japan kwa sekunde !!! Kama hamja nunua agari ya Toyota nunuweni kabisa yatapanda bei manaa hayatakuwepo kabisa