kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Meli zilizobeba ndege Za kivita za marekani zawasili pwani ya korea ya kaskazini Huku Japan na Korea ya kusini zikiunga mkono marekani. Kwa upande kwa Korea ya kaskazini imesema ipo tayar kujibu
mashambulizi Iwe nyuklia kwa nyuklia ama kombora kwa kombora. Hata hivyo wasi wasi ukuzidi kutanda eneo la Pacific Chanzo ni BBC FOX NEWS ALJAZEERA.
mashambulizi Iwe nyuklia kwa nyuklia ama kombora kwa kombora. Hata hivyo wasi wasi ukuzidi kutanda eneo la Pacific Chanzo ni BBC FOX NEWS ALJAZEERA.