kasolobela
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 107
- 121
Kama ni muongo Weka Wewe ukweli wakoAcha uongo mtoa mada, onesha umetoa wapi information zako. Unajua kweli kusoma taarifa za fedha?
Kama ni muongo Weka Wewe ukweli wakoAcha uongo mtoa mada, onesha umetoa wapi information zako. Unajua kweli kusoma taarifa za fedha?
Mbona nasikia hati fungani zilizowekezwa CCM za kununua wapinzani zimefikia 56%? Siyo mbaya huku kukidorora kule kunapendeza!
Wewe sijui mhaya gani usiye na Akili?
Yaani una-coment ujinga mtupu. Kitu kikiwa hakiuziki lazima kishuke. Bei inamaana mabenk na. Watu haiamini Serikali tena Ndiyo maana hawawekezi huko
Angalau hapa nimeelewa sasa!yaani BOT ilikuwa ikitoa riba ya 13- hadi 17% kwa benk za kibiashara zilizokuwa zikinunua T Bills zake, sasa hivi riba ndio imeshushwa hadi 4-6% sasa benki private zitakosa mapato kwa sababu watu mtaani hawakopesheki pia
Hivi wew ni mtalaamu wa fedha mr know kila kitu.....nikwambie tuu kitu kidogo kuwa hapo ni ahueni kwa wakopaji na mabenki maana viwango vya dhamana na hati fungani vimepungua.... Hivyo tunategemea mabenki yata himarika zaidi au kuanzishwa zaidi....
Kwa hiyo hizo pesa zingine zitakwenda kwa watu kwa njia ya mikopo.....
Sasa hapo hali tete inatoka wapi? benki itaanguka vipi wakati viwango vya dhamana na hati fungani vimeshushwa kuwasaidia? Vipi mwenzetu dish limeyumba?
Hii ni kicheko na furaha kwa mabenki na taasisi za kifedha....
Unaonekana umezowea kuuza nyanya huko ilulaNdugu biashara ya fedha sio sawa na biashara ya maandaz mtaan bei imeshuka ili ku discourage watu wasiende kuwekeza kule na badala yake wawekeze kwenye mabenk ya biasha na kwenye hisa za makampuni zenye return kubwa hii ni njia rahis ya kuongeza fedha kwenye mzunguko na ku boost mitaji
Unaleta siasa sasa .umekosa hoja etiii !!??Makamanda mmenyooshwa
Soko Ndiyo linaamua beiNdugu biashara ya fedha sio sawa na biashara ya maandaz mtaan bei imeshuka ili ku discourage watu wasiende kuwekeza kule na badala yake wawekeze kwenye mabenk ya biasha na kwenye hisa za makampuni zenye return kubwa hii ni njia rahis ya kuongeza fedha kwenye mzunguko na ku boost mitaji
Soko Ndiyo linaamua bei
Kutokana na kutofanya vizuri kwa mikopo ya biashara kwa benki za biashara kwa watu kutokukopesheka, mabenki yaliamua kuwekeza benki kuu kwa rate ya 13%-17% hadi kufikia tarehe 20/02/2018.
Kuanzia tarehe 21/02/2018 uwekezaji wa tresury bill (hati fungani) na bonds (dhamana) umeshuka hadi kufika kati ya 4%-6% hili ni anguko la kiuchumi ikimaanisha BoT hawana pa kuwekeza wala benki za biashara hana wa kuwekeza.
Tutarajie anguko kubwa la mabenki, SACCOS, Microfinance, hata hivyo vikoba maana biashara ya kumpa asiye nacho inakufa na aliyenacho hamwamini mkopaji maana hajui kama zitarudishwa.
Unaonekana umezowea kuuza nyanya huko ilula
What true? Yaani huyu kaingia kichakani na wewe unamfata huku umefumba macho,yaani kukopesha mlalahoi imekuwa very risk,hivyo mabenki yakaamua kujaribu inna last resort ambayo ndiyo hiyo ya kununua Treasury bills na govt bonds,huko nako wameamua kupunguza kiwango cha faida from 13%-17% hadi 4%-6% yaani mfa maji anadaka mzizi wa mbuyu ili kujiokoa halafu nao unan'gooka!! Nini kitafuata?very true.
Kutokana na kutofanya vizuri kwa mikopo ya biashara kwa benki za biashara kwa watu kutokukopesheka, mabenki yaliamua kuwekeza benki kuu kwa rate ya 13%-17% hadi kufikia tarehe 20/02/2018.
Kuanzia tarehe 21/02/2018 uwekezaji wa tresury bill (hati fungani) na bonds (dhamana) umeshuka hadi kufika kati ya 4%-6% hili ni anguko la kiuchumi ikimaanisha BoT hawana pa kuwekeza wala benki za biashara hana wa kuwekeza.
Tutarajie anguko kubwa la mabenki, SACCOS, Microfinance, hata hivyo vikoba maana biashara ya kumpa asiye nacho inakufa na aliyenacho hamwamini mkopaji maana hajui kama zitarudishwa.
Jee uamuzi huo unawahusu pia watu binafsi na kampuni binafsi zilizokuwa pia zinanunua treasury bills toka BoT au ni kwa mabenki ya biashara tu? Kama zinawahusu pia watu binafsi au kampuni binafsi basi kweli itakuwa kihama!

Wewe ndiye huelewi uchumi..Unaelewa uchumi kweli wewe? Mabenki yatakopa ili yamkopeshe nani na kwa riba kati uchumi huu?