meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Mkuu haya yanatokea wapi na kw nini???!mabomu ya machozi yanarindima.
Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi.
Usimsahau na m'babe Mkapa.Hakuna wa kubisha ushindi ni kwa CDM. Nawapa pole akina Lusinde Kibabaji na matusi yake jukwaani.