Hali siyo nzuri. Tunahitaji maombi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,269
Reaction score
23,088
Shem kashtuka kama sister ana chat sana na mtu flani. Anahisi kama ni mchepuko wake. Sister angu mjeuri sana kuna kipindi huwa nasema hata mimi nsingeweza kumuwowa. Huwa natamani nimuwambe makofi. Sema basi tu. Maana mimi ni kaka yake.

Hapa home hakuna amani sister kuna siku kamtukana sana shem. Nahisi pia sister alimwekea limbwata shem. Maana .... Ila naona kidogo kama shem akili imerudi kwa asilimia chache hivi.

Sasa kifurushi cha DSTV Kimeisha. Nashindwa kumwambia shem maana amenuna. Mimi hakuwa bored sana siku nzima nitaangalia ile DSTV 100 nitaweza kweli? Ni ngumu.

Sasa nashindwa nafanyaje maana nawapeleka watoto shule then narudi tu home kuzagaa zagaa mpaka saa 9 tena kwenda wachukua. Wasiwasi wangu shem akiamua kumuacha Sister inakuaje? Yaani huyu sister sometime namuwazia naona kama ni mbinafsi sana. Anajiangalia yeye tu haangalii matendo yake yanaweza kutuathiri vipi sisi wengine.

Ni utoto sijui? Nyie wadada mnapoolewa kaeni vizuri na waume zenu madhara ya kuachana ni makubwa sana katika jamii. Kama hamwezi kuoeleww toka mapema bora muache. Maana sasa ni kuja leteana usumbufu umri huu nianze hangaika tena pa kukaa au kurudi kijijini. Siyo haki hata kidogo. Siku ya 4 hii nakosa raha, sina amani kabisa.
 
Pole sana kaka mtu.. ila ongea na shem wako vizuri yaani ongea nae kiume atoe ya moyoni na ya sirini.. kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana dada yako hafikishwi kileleni ipasavyo au kuna visasi vinalipizwa.. wanawake ni makatili sana wakiamua kumfuata shetani na mambo yake.. nipo kwenye ndoa miaka nane sasa naelewa..
 
 
Nchi haina vijana aise
Yaani kweli kabisa kweli upo kwa dada
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo hapo unaiwaza tu safari ya kurudi kijijini!!! Lazima urudi kijijini ongea na dada ako atulize boli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shem Zuberi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Angalia Upendo tv upate upako.
 
Usikute mtoa mada Ana miaka zaidi ya 20 na bado anaishi kwa dada yake.

Toka hapo Rudi kwenu kijijini ukalime viazi au nenda kapange
 
Umeshapigwa ndugu. Hakuna cha shemeji ni we mwenyewe😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…