Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

Hahahahahahaha angemnasa na kibao kingine mpumbavu huyo.

 
Acha upumbavu juha wewe? Miaka 58 ni chama kipi kiko madarakani miaka yote hiyo??

Peleka ukamongo wako kwa makamongo wenzio pale lumumba mxciuuuuuuuuuuu!

Kama ukk selikarini nyie ndiyo mmetuharibia maisha kwa wizi wenu. Uchumi ulishakufa miaka nenda rudi watu wanajaribu kuufufua mnachonga. Watanzania wa JF ni hatari sana. Ni Mchwa.
 
Walaumu viongoz wako. Sis wafanyakazi wa level ya kawaida kabisa. Tunatekeleza maelekezo .
Walaum wa huko juu ambao wanafanya decision kwa.mihemko.
Kama ukk selikarini nyie ndiyo mmetuharibia maisha kwa wizi wenu. Uchumi ulishakufa miaka nenda rudi watu wanajaribu kuufufua mnachonga. Watanzania wa JF ni hatari sana. Ni Mchwa.
 
Ndiyo hali iliyopo mitaani, sijui mtoa mada anaishi nchi gani! Kilangila.
 
Mtoa mada ni falaa sana japo amesema ukweli kitu kimoja tuu cha wapiga kelele za kuumia, kua ni kakundi ka watu flani Jf utaona wanavamia thread kama wanaitana vile wapi manengelo wapi Bak wapi Detective wapi mmawia & co
Manenglo ana mume, wamtakiani? Kilangila.
 
hajui maana hata ya research huyo popoma.
nn kimemsukuma kufanya
alifanya wapi
aliwahoji kinanani nk
 
Comment yangu ni moja tu kwako.
UNA WAZIMU WEWE SI BURE
 
Hali siyo mbaya, ww tumekubali lkn umetimia tafiti ipi ili tuipitie hapa mezani
 
Na mimi Napigia mstari 'hali sio mbaya kama inavyoelezwa kwenye mitandao' NI KWELI KABISA....! wanaolalama ni wale waliokuwa wapiga dili ambao hawataki tena kwa makusudi kutumia fursa kujitafutia riziki halali..!
Tena ungejua wapiga dili wanamaisha mazuri maana walijiwekea hazina ,ndio wenye nyumba nzuri,magari ya kutembelea zaidi ya moja! Hawa ndio tunapanga nyumba zao,tunapanda daladala zao na hata milango yao biashara tunapanga. Tutabaki tunajidanganya wanaona cha moto kumbe maskini ndio joto tunaliona!hata Wtt wao hawasomi shule za st masanja,Wtt wao hasubiri ajira kama wetu.
 
Aisee, una shabaha sana. Kilangila.
 
Kwa hiyo serikali inachafuliwa na watu wasiozidi 50 kiasi kwamba maisha yakawa magumu kweli?
 
Atakaenipeleka mahakamani ni yule atakaesifia mmoja kati ya wafuatao mbele zangu: jiwe, bashite, kitoyota, kibajaji, LING'WIGULU, Lung'ola, UVIMBWIZI n.k. NITAMTWANGA NDOO MOJA ATAHISI KABAMIZWA NA LAND CRUISER.
Au bulldozer? Kilangila.
 
Vijijini unatafuta nini, nenda Tandale tu uone jinsi watu wanavyopigania miguu ya Kuku na utumbo wakalumagie na ugali. Kilangila.
 
Mpuuzi ni wewe na ndugu zako wanaofikiria uchumi unakua huku vitu mfukoni hamna kitu, sirudi kukaa na watu design yako siku nzima mnamwaga pumba tu hamna chochote productive mnachofanya, we umeambiwa kila aliye nje anadeki? hehehe kalio kweli we jamaa, ndicho ulichokua unafanya nje kumbe? pole sana elimu yako ulishindwa kuitumia.
 
Ongeza overtime ya kubeba maboksi,kutapisha vyoo na kukwangua barafu ili upate cha kuwatumia wavivu wako,na bado mpaka utembee kwa mikogo

Followers wa magu ni rahisi sana kuwatambua, siku zote hamfikirii makubwa mnawaza madogo tu, hata nje mmekaa mnawaza maboksi na vyoo tu yaani akili yako ndo inaishia hapo, nina uhakika we ni maskini. Unachokionyesha ni characteristics za mtu anayeamka hana la kufanya hadi anarudi kulala income zero. Pole sana
 
Umenikumbusha kale kakipande ka wagosi wa kaya "afalaleki walai na asubuhi ni mnazi badala ya chai"

Yaani ww uwe na data timilifu kuliko wachumi wenyewe, tena wamebobea wana kila nyenzo za kupata uhalisia kwa asilimia zote!! Mkuu jaribu kufanya research yako tena na tena.. Ndio utajua kuwa mjomba assaad na IMF hawapigi fix.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…