Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Kumekuwepo na sintofahamu katika kijiji cha Mto wa Mbu wilayani Karatu baada ya kuibuka vitendo vya kikatiri ambavyo vimepelekea mabinti wa kijiji hicho kufungiwa/kuzuiwa kutoka ndani au kwenda mbali na mazingira ya nyumba zao kuanzia saa 10 jioni.
Vitendo hivyo ni ubakaji na mauaji. Ni kwamba kuna mtu au kundi la watu wanafanya vitendo vya ubakaji na kisha kuua mbakaji.
Wamama na Ajuza nao wamelalamika na kupeleka kilio chao kwa serikali kuingilia kati suala hili kwani hata wao wanaogopa na kukosa amani.
Mpaka sasa mabinti 5 washabakwa na kuuawa, tukio la mwisho lilikuwa wiki hii.