David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 928
- 1,799
imekula kwako umekwenda na majiBaada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Kwisha Habari Yakeimekula kwako umekwenda na maji
Ni kawaida na walitakiwa kukupa maelezo ni dalili zipi za kawaida baada ya kuchoma na zipi ni hatari.Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
SureNi kawaida na walitakiwa kukupa maelezo ni dalili zipi za kawaida baada ya kuchoma na zipi ni hatari.
Mwili unajenga kinga ndio maana unapata noma.
Fire fire fire baba uwa nakemea baba pigaimekula kwako umekwenda na maji
Aisee!imekula kwako umekwenda na maji
Kwisha Habari Yake
Mlalo Wa Chali Ndembendembe
umechanjwa?Fire fire fire baba uwa nakemea baba piga
Sorry, unatumia kigezo gani kumwambia kwamba imekula kwake?imekula kwako umekwenda na maji
Hongera, chanjo yako haikuwa imeharbika, mwili wko ulishtuka baada ya kuchoma na kuwekewa hvyo viduduBaada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Ulivyotest mitambo hali ilikuaje?Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
ID yako ka ni jinsia ya kike na unamaanisha, ni pm.Hongera, chanjo yako haikuwa imeharbika, mwili wko ulishtuka baada ya kuchoma na kuwekewa hvyo vidudu
Mi nimechoma tarehe 22AugBaada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Ha ha we acha tu, gwajiboy apinge ya hiv tena wakati ye bingwa wa kwichikwichi.Sasa hivi inakuja chanjo ya h-i-v Ukimwi!! Hapo hatutamsikiliza nabii ngwajima wala polepole,tutapanga foleni tokea ngarenaro hadi ngaramtoni ya juu! Beberu anatucheki tuuu! Johnson&johnson, yaani kama hujui johnson na johnson bado ni johnson yuleyule!!