Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
Katika taarifa za habari jana wametangaza kuwa Kenya iko katika hali mbaya ya uhaba wa condom na ARV dawa za kupunguza makali ya UKIMWI. Na hii inatokana na wafadhali PEPFAR waliokuwa wakitoa msaada huo kusitisha msaada.
Papo hapo kuna kijiji (jina limenitoka) nchini Kenya watu hutumia condom zaidi ya mara moja, akimaliza tendo la ndoa huiosha na kuianika tayari kwa matumizi tena na la akikosa kabisa hutumia karatasi ya nailoni. Tunakoelekea ni kubaya!!!
Hii hali imeniogopesha sana!!!!