peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,669
- 27,516
Mama amefungua nchiMahindi yanaenda nje kwa spidi kubwa sana, watu wanapiga pesa
Mama amefungua nchiMahindi yanaenda nje kwa spidi kubwa sana, watu wanapiga pesa
Hapa iringa mjin , wapungufu wa akili na walemavu wameongezeka, pia shughuli ya kuokota makopo imekua kwa Kasi...Kuna baadh ya watu wanaokota makopo as a family work...yaan wanatawanyika watoto , wanaokota makopo af wanatia kwenye kiroba kimojaYeye yuko Doha, atajuaje sisi tunajua
Ndio raha ya kuichagua CCM Iringa mjiniHapa iringa mjin , wapungufu wa akili na walemavu wameongezeka, pia shughuli ya kuokota makopo imekua kwa Kasi...Kuna baadh ya watu wanaokota makopo as a family work...yaan wanatawanyika watoto , wanaokota makopo af wanatia kwenye kiroba kimoja
Kwan hata wasipowaambia ktu hao wananchi wana cha kuwafanya?CCM uchaguzi mkuu 2025 wanajiandaa kuwaambia nini wananchi kuhusu huyu maza?
Kenya waliona mbali kuhusu Martha KaruaUnajua nn hatuwezi kubishana na asili "nature" hata siku 1 ukweli utabaki pale pale kuna nafasi za kuwapa wanawake na kuna kuwapa wanaume, kuna sehemu ukimuweka mwanamke ataharibu t na hataweza kufanya maamuzi mwnyw
Shida nikwamba watu wanatafuta njia za mkato ambazo hawajali zinakujaje kikubwa wanachoangalia wao ni njia tu ya kuwafikisha iliko keki wakamege kipande chaoAkili zitatukaa sawa make watz huwa tunajizima data....
Kwan hata wasipowaambia ktu hao wananchi wana cha kuwafanya?
Mama amemwaga mihela....mabil kwa mabil ,yaan Ni mihela inemwagika....alisema mlevi mmoja ambae pombe tumemdhibitiShida nikwamba watu wanatafuta njia za mkato ambazo hawajali zinakujaje kikubwa wanachoangalia wao ni njia tu ya kuwafikisha iliko keki wakamege kipande chao
Tunaishi kama tunacheza kamari bhanaMama amemwaga mihela....mabil kwa mabil ,yaan Ni mihela inemwagika....alisema mlevi mmoja ambae pombe tumemdhibiti
mama kawa tobo la wanyang'anyi, wezi wanajipigia tu saivi, inasikitisha mno..Hii nchi hali ni mbaya kila kitu kimepanda bei kwenye masoko madukani hakuna kinachonunulika mpaka unga wa ugali jamani, kuna watu wanashinda njaa kwa hali hii wanapata mlo mmoja na kibaya zaidi hakuna anaetuzingatia watu wanapepea airport kila siku ni HUZUNI.
Hivi ni nini kinaendelea jamani [emoji848]