Hali mbaya ya mfumuko wa bei, watu watakufa njaa

Hali mbaya ya mfumuko wa bei, watu watakufa njaa

Majs

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
232
Reaction score
520
Hii nchi hali ni mbaya kila kitu kimepanda bei kwenye masoko madukani hakuna kinachonunulika mpaka unga wa ugali jamani, kuna watu wanashinda njaa kwa hali hii wanapata mlo mmoja na kibaya zaidi hakuna anaetuzingatia watu wanapepea airport kila siku ni HUZUNI.

Hivi ni nini kinaendelea jamani [emoji848]
 
Hii nchi hali ni mbaya kila kitu kimepanda bei kwenye masoko madukani hakuna kinachonunulika mpaka unga wa ugali jamani, kuna watu wanashinda njaa kwa hali hii wanapata mlo mmoja na kibaya zaidi hakuna anaetuzingatia watu wanapepea airport kila siku ni HUZUNI. Hivi ni nini kinaendelea jamani [emoji848]
 
Attachments

  • 0A3EE1A8-DDC0-4930-8456-1B87FD27EBD5.jpeg
    0A3EE1A8-DDC0-4930-8456-1B87FD27EBD5.jpeg
    7.8 KB · Views: 17
  • 14E6715C-B067-46F9-B376-380F0ABC5444.jpeg
    14E6715C-B067-46F9-B376-380F0ABC5444.jpeg
    60.7 KB · Views: 14
Hii nchi hali ni mbaya kila kitu kimepanda bei kwenye masoko madukani hakuna kinachonunulika mpaka unga wa ugali jamani, kuna watu wanashinda njaa kwa hali hii wanapata mlo mmoja na kibaya zaidi hakuna anaetuzingatia watu wanapepea airport kila siku ni HUZUNI. Hivi ni nini kinaendelea jamani [emoji848]
Sabuni miatisa
 
Kuna tatizo mahali kumteua huyu maxa kwenye nafasi kubwa kama aliyo nayo
 
CCM uchaguzi mkuu 2025 wanajiandaa kuwaambia nini wananchi kuhusu huyu maza?
 
Back
Top Bottom