Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,852
Reaction score
3,094
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari.

Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo tumezoea chini y ccm na mafisadi na majizi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Yaani hii nilipost tiktok Dawasa wakajifanya kuziba maji

Juzi wamekuja kukwangua barabara wameacha hivyo na maji yake🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…