Hali mbaya Atlas primary school Madale

Hali mbaya Atlas primary school Madale

Siku watoto wenu wakiporomekewa na jengo tusione kilio shule nyingi tu siko vzuri academic sasa shule iko overloaded unampeleka mwanao
 
Nilizani unalalamikia goba primary kumbe atlas academic shule ya kibinafsi mweleze mwenye shule wangu anasoma Mbezi primary
 
hivi mtoto wa primary boarding anaenda fanya nini?

bond na wazazi wake anaijenga saa ngapi?

hamjifunzi IST wazungu wanasomesha day watoto wao.
Na hao watoto hawana care matokeo yake wanaanza kugeuzwa wakiume na watoto wenye tabia chafu mi watoto wako day na Nina wafatilia sasa unawapeleka boarding uliwazaa nini hii kuiga eti kisa academic performance mwanao aje aharibikiwe then uanze kulaumu
 
Kweli huyu mkurugenzi wa shule ni mtu anaejali
 
Wazazi wapuuzi huwapeleka watoto wao shule za kipuuzi kisa wamesikia tu watoto walifaulu shule yani mapungufu yote hayo bado unamuacha mwanao shule kama hio...
 
Anaejali maslahi ya kukuza shule wanafunzi elfu tatu usalama mdogo
 
Hamisha mtoto hiyo shule imelalamikiwa sana ila naona wazazi wagumu sana kuchukua hatua
 
Kwani lazima mtoto asome hapo,hujaridhika napo ondoa mwanao
 
Susan ni usalama was watoto sio lazima awe wa mchangiaji hoja. Shule haina kiwango katika mabweni.
 
Jamani Atlas.. yaani...nilikuwa na wanangu hapo nikawaamisha.. shule haifai.. yaani, walimu hawalipwi (Wanaolipwa ni ndugu na marafiki wa mkurugenzi tuu), mazingira magumu, chakula cha kubahatisha.. Unafikiri watafundishaje na kuwajali watoto? Nshawaambia, akili za kuambiwa.... Wazazi wenzangu.
 
mabweni shule ya msingi! Mzazi unaondoka mtoto amelala, unarudi mtoto amesharudi kutoka shule na amelala. inabaki kuonana 'weekends', nayo huonani na mwanao kisa yupo 'boarding'. malezi ulimwachia house girl na sasa matron/patron! Kizazi kijacho kitachapa bakora wazazi wao maana anakuonaona tu na malezi anapewa na watu wasiohusika saana kimalezi! Ukimletea atakurudi maana hamfahamiani vyema kimzazi na mtoto!
Ni mfumo wa maisha, tunafanya hayovtupate pesa ya kuwalea na kuwasomesha.
 
hivi mtoto wa primary boarding anaenda fanya nini?

bond na wazazi wake anaijenga saa ngapi?

hamjifunzi IST wazungu wanasomesha day watoto wao.
Hapa naona wanaharibu sana wazazi wafanyao hivyo.
 
uri ni kuuutafuta uongozi na kueleza hizi kero na siyo kuwachafua aiseee
Watu kama nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo.

Mnaficha uhalifu kama huu ili iweje?
Huoni kama huu ni uhalifu mkubwa kwa maisha ya watoto wa watu?

Ngazi hazina vizuizi hicho ni kinyongeo kama walicho mnyongea Saddam Hussein.

Milango hakuna ina maana hata ikitokea kuwepo mlinzi pedophilia anaweza kuzama ndani muda wowote akamziba mdomo mtoto akaenda kumlawiti au kumtoa bikra mtoto wa kike.

Vibaka wanaweza kuwazidi ujanja walinzi wakafanikiwa kuwadhuru watoto kirahisi.

Maji machafu yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko yakauwa makumi au mamia ya watoto.
 
Back
Top Bottom