Hali inapofikia huku....!

Wanajua saa ya ukombozi imefika.
 
Hali mbaaya! CCM mwaka huu tutanyooka tu.

I'm trying to be fair, Ukawa mtatulaza na viatu mwaka huu.
 
Reactions: ddk
wampe urais wake haina haja tena ya kushindana nae ni kama chama cha kijan watajidhalilisha kwa kushindwa vbaya
 
Reactions: ddk
Kwa hali ilipofikia hakuna jingine zaidi ya kukubali tu matokeo, utashindana vp na nguvu ya uma........
 
hivi wanapiga kura hao kweli wakiwa magerezani
 
Wanajeshi hawaruusiwi kupiga kura?mbona wamejiandikisha wanajeshi wengi sana?
 
Ni muda sasa Mgombea wa UKAWA akahakikisha wafungwa hawa wanapata haki yao.
CDM ipeleke barua kwa Mkuu wa mageraza ili mgombea wake ajitambulishe kwa hao wapiga kura naamini wanazidi zaidi ya 1000.




Cc Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
Ni muda sasa Mgombea wa UKAWA akahakikisha wafungwa hawa wanapata haki yao.
CDM ipeleke barua kwa Mkuu wa mageraza ili mgombea wake ajitambulishe kwa hao wapiga kura naamini wanazidi zaidi ya 1000.

Cc Tumaini Makene

Walau hao wanajitambua! Midaganyika mingine inapewa jero jero kwa kuuza utu wao kesho utasikia inalalamika eti maisha magumu wakati wanayataka wao!

Wapeni UKAWA miaka mitano tu, wakizingua tuna piga chini!

Ukichagua vibaya usilalamike. Kama hukujiandikisha kwa kuamini kuwa wote ni wale wale, hakuna jipya, ama sababu nyinginezo, baada ya uchaguzi USILALAMIKE KAA KIMYA akili ikukae sawa kwa miaka mitano ijayo!

Kura yako itumie vizuri uachekulalamika, siyo uchukue jero jero zao/ sukari/chumvi ama ukubali uongo wao wa miaka yote, matumaini hewa kisha kesho unze kuli lia! Kama hawakutekeleza miaka zidi ya 55 iliyopita, watatkeleza vpi saari hii? Nini kime badilika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…