Hali ilivyokuwa Kenya leo


mkuu umeongea point na unafikir kwa undan zaid.........yaan kuna watu humu thnking capacity yao ni ndogo mno kaz yao ni kutoa lawama za kisiasa tu... Askar yeyote anapoteleza kaz yake na hasa uokoaji lazma atangulize nidham na high que wakat huo uhadar ukiwa nyuma wengne kaen kmya wanaume wanapofanya kaz
 
Very Sad !! mda mwengine kimbelemmbele na ufedhuli husababisha balaa na majanga ona sasa! Poleni wandugu wa Kenya. Yaani siku tatu (zaidi ya masaa 70) bado kasheshe na mapambano kati ya jeshi na hao watoto ! Nasikia Huzuni tokeo hili ni la majirani wawili kwani hivi VISASI haviishi yaani Visasi vyao vitaendelea hadi lini? Ohh My God....
 
Hadi sasa wamefaliki watu 69 na wengne 170 kujeruriwa BBC news said, jeshi la kenya linapalangana kuingia ndan kusaidia mateka. Nasie watanzania tuwe alert.
 
Mkuu Olesaidimu na capt tamar uokoaji hauko kama nyie mnavyofikir na ukumbuke wale watekaji wamevaa mavaz yakawaida sio sare wakat huo wamejichanganya na mateka kwahyo jeshi likitumia nguvu nyng kama mnavyotaka nyie watawapoteza mateka wote. Usifkir kila sehem nikutumia nguvu.......tatzo lenu kila kitu mnawa uchadema na uccm.
 
Mara zote tahadhari ni muhimu, ila watakaothubutu kuja kufanya upuuzi kama huo hapa kwetu we shall set an example for the world to see. Chezea kitu kingine sio maisha ya mwana wa nchi hii much less by a foreigner.

Mkuu nina uhakika huwezi kuthibitisha ulichoandika hapo juu labda kama unatania!! Serikali hii hii ya Kikwete na askari hawa hawa akina KOVA, MWEMA na wenzake??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…