Ulikuwa hujui? umesahu na vyama vingine? japo vimepata kura kidogo sana lakini vipo. Ulifikiri kelele na kuongelea watu ndio siasa? na sasa unarudia makosa hayo hayo ya kutafuta mchawi na si kutafuta kwanini umeshndwa!
Hamchukuwi nchi madaraka ya nchi hii kwa mtaji huo. Rudini mtazame makosa, kosa lenu kubwa ni kuongolea watu na hayo ni mambo yasiyoleta maendeleo, Watanzania wanataka action si lelemama.