Elections 2010 Hali hii ndio ilivyokuwa Igunga na picha hii ndio inaweka wazi kila kitu.........

CDM wasikate tamaa, kazi waliyofanya ni nzuri na kubwa kuliko hata huo ushindi wa CCM. CDM tunawapongeza sana. CCM wajue tu kuwa Dalili za mvua ni............
 
CDM wasikate tamaa, kazi waliyofanya ni nzuri na kubwa kuliko hata huo ushindi wa CCM. CDM tunawapongeza sana. CCM wajue tu kuwa Dalili za mvua ni............

Umenena vyema ndugu yangu.. huo ndo ukweli wenyewe, tunajiandalia mazingira ya ushindi 2015!
 
CCM A na CCM B waungana kumchangia CHADEMA lakini bado wamecheza rafu,HII NCHI NI YA CHADEMA TU ifikapo 2015 hatutasikia tena propaganda za MAGAMBA.
 
chaguzi ndogo zinamambo mengi cdm waendelee kujipanga tu
 
CDM ilikuwa inashindana na CUF na CCM kweli tutafika...???..View attachment 38249

Natabiri CUF kufa 2015.

Ulikuwa hujui? umesahu na vyama vingine? japo vimepata kura kidogo sana lakini vipo. Ulifikiri kelele na kuongelea watu ndio siasa? na sasa unarudia makosa hayo hayo ya kutafuta mchawi na si kutafuta kwanini umeshndwa!

Hamchukuwi nchi madaraka ya nchi hii kwa mtaji huo. Rudini mtazame makosa, kosa lenu kubwa ni kuongolea watu na hayo ni mambo yasiyoleta maendeleo, Watanzania wanataka action si lelemama.
 
Kwani ccm ni action gani wamefanya yakutuletea maendeleo?
 
Cdm ni vema sasa mkapigania kubadilika kwa katiba ili kipindi kijacho usawa uwepo na wizi wa kura usiwepo kabisa. Learn through the mistake of u and others, peoples power forever and ever
 
ccm imetumia nguvu nyingi sana hata ushindi waliopata ni kidogo sana kulinganisha na nguvu kubwa waliotumia, but ccm ndo wanaelekea mwisho mwisho sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom