hapana nakataa kwa nguvu, nilikua na desturi ya kujisomea hapo kila jumamos baada ya kutoka shule, sikuwah kwenda kncu for break zaidi nikikuta kumejaa ndani nazunguka nyuma yajengo la maktaba najisomea nikiona mda sio nachukua tu kitabu naenda home,napandisha hapo posta huyoooo had soweto