Cjaelewa
Kumbe ni wewe tulikutanaga pale Library?Oh nimeikumbuka njia yangu maarufu ya kwenda library ya mkoa na posta enzi hizo
Kumbe ni wewe tulikutanaga pale Library?
hahahhaa sio kweli2002-2007😀😀😀
Umesahau naona, hadi tukawa twaenda KNCU break ....hahahhaa sio kweli
hapana nakataa kwa nguvu, nilikua na desturi ya kujisomea hapo kila jumamos baada ya kutoka shule, sikuwah kwenda kncu for break zaidi nikikuta kumejaa ndani nazunguka nyuma yajengo la maktaba najisomea nikiona mda sio nachukua tu kitabu naenda home,napandisha hapo posta huyoooo had sowetoUmesahau naona, hadi tukawa twaenda KNCU break ....
Haya madam, nilikua nakutania bana.Mimi pia nilikua nnashinda pale kipindi cha likizo ....hapana nakataa kwa nguvu, nilikua na desturi ya kujisomea hapo kila jumamos baada ya kutoka shule, sikuwah kwenda kncu for break zaidi nikikuta kumejaa ndani nazunguka nyuma yajengo la maktaba najisomea nikiona mda sio nachukua tu kitabu naenda home,napandisha hapo posta huyoooo had soweto
Haya madam, nilikua nakutania bana.Mimi pia nilikua nnashinda pale kipindi cha likizo ....
Karibu, usiku mwema.Oh,asante kwa kunijuza, huo mji nimezurura sana, naupenda kusafi