Hali halisi ndani ya siasa za Tanzania

Maradonna

Senior Member
May 24, 2016
183
649
upload_2016-5-28_8-46-46.png

Ndiyo namna wananchi wanavyokuwa na muamko katika mikutano ya kisiasa ila linapokuja suala la nani awe kiongozi wa mabadiliko hayo kila mmoja anaanza kukumbuka familia yake, Kazi yake na mipago yake pia..
 
Kweli mkuu!! Imetuchukua miaka zaidi ya 50 kufikia hapa tulipo, hivyo usitegemee watu kuchange in 5years! Changes must be a process
 
Back
Top Bottom