Kama unakuwa umekwenda bank kuchukua pesa halafu usizikute,basi kuna tatizo.Unajifanya hujuhi furaha uletwa na nini duniani ?
Mleta post ulichosema live, tena tawile, hivi wenzio wanalia njaa we utakuwa na furaha kweli, wenzako wamebomolewa nyumba bila kulipwa, makazini kuambiwa ambiwa wenzenu wanatafuta kujitolea, wasomi wengi kazi hakuna, kama mzarendo utafurahi vipi kuona matatizo ya wenzako, nadhani kama mzawa wajua yote, ila kutaka watu wayaseme haya, kupaza sauti kuzuri ili mambo yawe mazur kwa watu wote, ndomana sehemu nyingine wanaandamana na mabango juu.Nimefanya utafiti mdogo (by visual analysis) nilipopita maeneo mbalimbali. Hali za watu hawana furaha iliyozoeleka.
Nimejiuliza kulikoni?
Mbaya zaidi hata zile sehemu kama bar, migahawani nk ambako mtu hupata burudani, nako kumebadilika sana.
Nimekosa majibu.
Sasa utafiti wako ulilenga nini kama haukujua sababu ya furaha zao kutoweka? kama mpaka walevi wamekosa furaha unadhani sababu yaweza kuwa kitu gani?
Hakuna mwenye furaha kama mlevi,nakwambia.Walevi huwa wana furaha??
Hakuna mwenye furaha kama mlevi,nakwambia.
Sijawahi kuona utafiti wa kijinga km huu
Wazo duni.
Labda nikuulize kipimo cha furaha ni nini ukinieleza hapo ndio nitaamini utafiti wakoNimefanya utafiti mdogo (by visual analysis) nilipopita maeneo mbalimbali. Hali za watu hawana furaha iliyozoeleka.
Nimejiuliza kulikoni?
Mbaya zaidi hata zile sehemu kama bar, migahawani nk ambako mtu hupata burudani, nako kumebadilika sana.
Nimekosa majibu.
Kwa unaowaona umekosa majibu ndio utayapata humu!!!Nimefanya utafiti mdogo (by visual analysis) nilipopita maeneo mbalimbali. Hali za watu hawana furaha iliyozoeleka.
Nimejiuliza kulikoni?
Mbaya zaidi hata zile sehemu kama bar, migahawani nk ambako mtu hupata burudani, nako kumebadilika sana.
Nimekosa majibu.
Hapana aisee.Mi nilijua walevi wanalewea stress za maisha
Huyo mkuu wa malaika ni demu hadi apewe degree ya kyupi?au sijakuelewa..Hebu mshangae
Hawa ndio wanapewa degree za chupi kama mkuu wa malaika alivyopewa hoji sasa upotezwe kama yule mrombo