Hali halisi kabla ya kuzaliwa tanzania

Black Jesus

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
256
9
Nitaomba kwa wale wote wenye uwezo wa kukumbuka au kuwa na maelezo yanayohusu hali halisi ya historia ya nchi Hi ,kabla haijaungana na visiwani na kuitwa TANZANIA kifupi nitaomba nijulishwe, Utamaduni, maisha ya watu kwa wakati huo hali halisi na mienendo mengine nitapenda maoni yale yanayo ongelea nchi kabla ya kuundwa TZ kwa mana hii nataka maoni yanayo husiana na nchi iliyokuwa inatambulika kama TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom