Hali bado tete CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mbowe ndiyo kirusi ndani ya CHADEMA akiondoka madarakani(mwenyekiti) chama kitafika mbali zaidi.

Shetani anaweza kuwashauri waumini eti askofu wenu ndio tatizo akiondoka tu kanisa linakua na wote mnaenda mbinguni?!!!We gamba tu suburi mnyolewe kwanza maana mmeshindwa kumnunua kamanda wa anga!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Huna lolote wewe mnafiki....Chuki zako sasa zimekuwa kwa Dr. Slaa ehh....Bado unatapatapa...Chadema utaisoma number tunasonga mbele.....Wewe na huyo Mchawi mwenzako alieenda Nigeria kuongeza uchawi habari yenu ndo imeisha Chademaa!!!!!!

Kila unachoandika hapa JF konapuuzwa maana na wewe tumesha kupuuza.....Sasa nakushauri ni bora ubadili ID ili utumbo unao andika uthaminiwe...
 
Shetani anaweza kuwashauri waumini eti askofu wenu ndio tatizo akiondoka tu kanisa linakua na wote mnaenda mbinguni?!!!We gamba tu suburi mnyolewe kwanza maana mmeshindwa kumnunua kamanda wa anga!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

vipi kuhusu hii hoja iliyopo mezani. nini mchango wako. hayo mengine ya kunyoana hebu yaweke pembeni kwanza
 

Hizi taarifa ni nyeti sana....Ni bora ungeanzisha uzi mpya watu tujadili kwa mapana na marefu......
 
dhambi ya ubaguzi inaendelea kukitafuna chama?
 
Uzushi huo,na ingekuwa mmemsema Zito ungeweza hata kufungiwa.Nadhani mnajua kusoma nyakati,mfadhili wenu Nchemba amepanda cheo.Maneno kama hayo unaweza kupata hela kwa nchemba
 
Unakaa chooni, unasokota misokoto yako, halafu unaleta mauzauza ya kutunga humu kwa GTs. Ukiamka upige mswaki
 
Ukikaa kijiweni utasema cdm mwendo mdundo nisawa sikuwandika tu lkn kwasisi wafwasi wa cdm ndio tunaona madhara ya uzaifu ya wanaotuita wasaliti 2015 watatwambia sisi ni cdm wapeni nafasi ya kuongea naniwakikishie cdm udiwani 9/2/2014 wataipata sisi tunaoitwa wasaliti ipo siku watatwambia nicdm
 
dhambi ya ubaguzi inaendelea kukitafuna chama?
Nyi mazuzu kweli,nani asiye jua kuwamnaona bosi wenu Nchemba amepanda cheo ndiyo wakati umefika kuendeleza pumba zenu humu.Kwa akili yenu,ukitaka kupata hela kwa Nchemba mseme tu Mbowe.Maana hata yeye anapo changia bungeni lazima amseme Mbowe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…