Hali bado tete CHADEMA

Hali bado tete CHADEMA

Status
Not open for further replies.

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.

Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.

Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.

Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,

Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu
.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.

Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .

Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,

Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.

Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.

Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.

Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.

Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
 
CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.

Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.

Mnatumia kamusi gani mazee?
 
Hii ndoto yako inatufundisha nini? Boas wenu kapanda cheo lazima mtaongezewa dau. Jitahidi sana kuongea pumba na kujifariji
 
Kwani nani kasema Mbowe na Slaa ni Malaika? Kila mtu Ana mtazamo wake na tofauti hizo Ndio zinaifanya CHADEMA iendelee mbele
 
CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.

Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.

Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.

Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,

Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu

Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.

Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na
M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,

Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.

Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.,

Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao,

Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya chadema,
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.

cdm ni wauza sumu, hakuna mtu mbinafsi duniani kama Babu Slaa
 
Kamsaidie boss wako kwenye kazi aliyopewa jana ambayo ni malipo ya kuishambulia chadema,mda umeisha endapo na ww unategemea cheo kwa kuendeleza yale aliyokuwa akiyafanya Mr M-pesa bs umenoa mda hauko upande wa maccm tena.

Chadema hakuna kambi wala kande,kwa sasa nguvu ni moja tu
 
Unajaribu kulazimisha hali kuwa tete sio?hata kama kweli wanatofautiana katika hilo unadhani hawana busara ya kufikia maamuzi kwa kitu kidogo kama hiki?CDM ni imara kuliko unavyofikiri na viongozi wetu ni majembe wakiongozwa na kamanda wa anga!na safari hii lazima mzae... Hakuna kulala kitaeleweka tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kamsaidie boss wako kwenye kazi aliyopewa jana ambayo ni malipo ya kuishambulia chadema,mda umeisha endapo na ww unategemea cheo kwa kuendeleza yale aliyokuwa akiyafanya Mr M-pesa bs umenoa mda hauko upande wa maccm tena.

Chadema hakuna kambi wala kande,kwa sasa nguvu ni moja tu

Hana jipya huyo anaongea uhalo mtupu.
 
ndo maan watoto wa kidato cha pili hamtaki kutangaza matokeo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom