Huo hapo ni uongo.....na unafiki ,uwe na kumbukumbu......zike tani 5000 ,zilizokamatwa pale mbagala ndo rais....aliseme zingegawiwa...na kule mtwara ,wale TRA ,ndo waligawa ile sukari iliyoingizwa kimagendo nchini...kulikuwa na wafanya biashara wengi waliokuwa na sukari walio kamatwa nayo,hata kule dodoma..ila agizo la kugawiwa halikutekelezwa,tena mlikuja hapa kwa mbwembwe,na kujisifia ..leo mnakana aibu yenu....Nyie vijana au watu (maana sijui umri wako) mna matatizo makubwa mno kuhusu uelewa wa issues....mnachukulia mambo kijuuujuu...mnafanya dhihaka kwa kila kitu...hamtulii ili muweze kuelewa mambo...mnakurupuka...mnatanguliza itikadi, siasa na ushabiki mbele...hamtaki kuelewa...ni wabishi...mnamdhihaki Rais...mnamlisha maneno Rais....mnafanya utani na taasisi ya Urais...hamjielewi... Sasa, nakwambia kwamba Rais Magufuli hakuwahi kusema sukari itagawiwa bure kwa Watanzania...alichosema na ambacho wewe umekiri katika andiko lako hili ni kuwa alisema sukari itakayokamatwa IMEFICHWA itagawiwa bure... Na hili limefanyika kuna sukari ilikamatwa huko mikoa ya kusini kati ya Mtwara na Lindi sukari hiyo ilikuwa imefichwa na iligawiwa bure kwenye vyombo vya dola...
itagaiwa 2019 na 2020 utakumbushwa mazuri uliyoyapata kutoka chama tawala.hivi ile sukari aliyosema ataigawa bure Tz nzima nyie mmepata mgao?
Huo hapo ni uongo.....na unafiki ,uwe na kumbukumbu......zike tani 5000 ,zilizokamatwa pale mbagala ndo rais....aliseme zingegawiwa...na kule mtwara ,wale TRA ,ndo waligawa ile sukari iliyoingizwa kimagendo nchini...kulikuwa na wafanya biashara wengi waliokuwa na sukari walio kamatwa nayo,hata kule dodoma..ila agizo la kugawiwa halikutekelezwa,tena mlikuja hapa kwa mbwembwe,na kujisifia ..leo mnakana aibu yenu....
na iligawiwa bure kwenye vyombo vya dola...
kumbe haikuwa ya kugawa kwa wananchi?
Sasa huko ndo kukurupuka......unatangazia uma kitu hafu unaendana kamera na kutuambia umekamata kumbe ni usanii tuUlichoandika hapa sielewi....unaweza kukamata kitu au sukari lakini baadaye ikathibitika kuwa kumbe ilikuwa haijafichwa kutokana na nyaraka zilizopo...
watanzania wameathiriwa na siasa hata kama kilo moja ya sukari ikiuzwa mia tano bado watalalamika tu lazima watasema haina ubora kwa nini iuzwe bei ndogo hivyo mbona ilipopanda ikawa inauzwa 6000 - 8000 kwa kilo kwa mjini na vijijini iliuzwa 10000 kwa kilo lakini watu bado walikuwa wananua tu leo hii bei imeshuka bado wanaleta porojo zao za kisiasawanawake mi nawapenda kweli afu nawaheshimu maana nikiwa na stress nikipewa nachopewaga na mwanamke wangu basi tena sukari hata iuzwe 10,000 kilo nitanunua.
Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
JPM Mkuu usitokwe na povu,punguza Mizuka.Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
Huyo ni muongo km sukari ni 2200 atuambie ni supermakert ipi inauz abei hiyoSasa mkubwa kama bei ya jumla ya mfuko wa 50kg ni TZS 110,000 na wewe umenunua kilo TZS 2,200 bei ya reja reja dukani, huyo mwenye duka mbona atakuwa anafanya biashara kichaa?
Nasema ni biashara kichaa kwa sbb huyo ameinunua kwa bei hiyo ya jumla na yeye kaamua kugawa bure kwa sbb hakuna faida iwapo kweli anauza kilo moja kwa TZS 2,200 kwa sababu;
2,200 × 50kg = TZS 110,000!!
Au umekuja hapa kutudanganya tu mchana kweupe??
Ni wazi ili huyu retail trader apate faida ingalau ya kati ya TZS 15,000 - 30,000 ktk mfuko mmoja wa kilo 50, ni lazima auze bei ya reja reja ya kati ya TZS 2,600 - 3,000 kwa kilo moja iwapo yeye kanunua bei ya jumla hiyo uliyosema ya TZS 110,000!!
Kwa hiyo, in short kabisa......wewe ni mwongo, period!!
Huyo inabid akamatwe maana bei elekez ni 2300Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
JPM Mkuu usitokwe na povu,punguza Mizuka.
Polisi mkikamata magari yanayopita kwenye barabara za mabasi ya mwendo kasi ng`oeni matairi mkauze by:JPMJPM hajawahi kutamka hivyo....