HALELUYA! Amu aachiwa!!

Mdudu gani tena yarabi?

Ni hivi mpenzi Vivianna,ukifanya kosa hapa Jf,miongoni mwa adhabu ni BAN,na hii hupelekea wewe kushindwa kufanya lolote pale unapo log in,zaidi ya kupokea ujumbe kuwa umekuwa banned kwa sababu fulani,na BAN yako itaisha tarehe na muda fulani.
Ukitaka kufungua other forums,itabidi uingie kama guest.
 
Last edited by a moderator:
Mdudu gani tena yarabi?

one eyed snake...
mnyama si mnyama, mdudu si mdudu...
ana nywele mkiani badala ya kichwani...
ana matumbo mawili pia yapo mkiani...
akiguswa tu, anafura na kujinyoosha kisha kuwa mgumuuuu...
mwisho wa siku hasira zikimtoka anatema sumu, na kusinyaaaa kama mchicha kikaangoni.
 

Ni kama RED CARD ile ya mpira wa miguu ama?
 

Hivi haya yote umejuaje?? au nawe yashawahi kukupata??
 
Last edited by a moderator:

Huyo bila shaka atakuwa ni DINOSOURS
 

hivi huyu mjamaaa yupo selo loo ujue nlikaa selo robo saa.
Kweli cc zaidi ya family
 
Last edited by a moderator:
Ukiona Kobe Kainama ujue anatunga sheria

yani naomba unipokee mikono miwili tushirikiane tuwe wake wenza tumbane asiongeze wanawake wengine kumbuka umoja ni nguvu utengano udhaifu dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…