Mimi sijaponda, ila nimetoa angalizo sisi tuliopokea mfumo wa elimu kutoka kwa wakoloni; lengo langu, inabidi kufanyike mapinduzi/mageuzi katika sekta ya elimu.Cha kushangaza, mpaka unaandika huo ujumbe umetumia technologia ya huyo huyo mkoloni unayemponda
Mkoloni katupatia elimu, then yeye akaiacha na kuanzisha elimu ya kisasa na ya kiteknolojia wakati sisi tunaendelea kung'ang'ania ya zamani.Cha kushangaza, mpaka unaandika huo ujumbe umetumia technologia ya huyo huyo mkoloni unayemponda
Sikubaliani na wewe. Enzi za mkoloni kulikuwa na Technical schools, Domestic science colleges na sehemu nyingi ambazo kila mtu aliweza kupata nafasi kulingana na alivyofaulu. Sasa hivi hivi vitu vimekufa. Hata primary tulikuwa tuna masomo ya kazi za mikono. Unaandaliwa kufanya useremala, kushona, kulima kiutaalamu, kutengeneza vyungu na kazi nyingi tu. Hata primary kulikuwa na domestic science. Sasa vipo wapi? Usimlaumu mkoloni laumu wanaobadili mitaala kila kukicha bila kuangalia mbele kutatokea nini. Hao wakoloni unaowasema vitu walivyotuachia tuendeleze sisi wenyewe na siasa zetu tumeviua.Mimi sijaponda, ila nimetoa angalizo sisi tuliopokea mfumo wa elimu kutoka kwa wakoloni; lengo langu, inabidi kufanyike mapinduzi/mageuzi katika sekta ya elimu.
Mkuu suala LA kujiajir ama kutojiajir n personal issue. Consequences za kuto kuwa na kipato n juu yako mwenywe. Education system haiusiki hata kdogo coz this time around Kuna various sources za wewe kupata taarifa na ujuzi mbali mbali ambazo ztaweza kujenga kimazubuti ama kuharibu kisawa sawaHii inanipa mashaka kuhusu View attachment 1003581elimu tuliyo-copy kutoka kwa wakoloni enzi hizo hadi sasa bado tunaing'ang'ania
Sijamaanisha kuwa elimu ya mkoloni ni mbaya kwa 100% lahasha; ninachomaanisha mimi kuna vitu vya kurekebisha katika elimu hiyo tuliyorithi kutoka kwa mkoloni. Kwa mfano baada ya kutufundisha kilimo cha mahindi Marekani tunatakiwa kujifunza kilimo cha mahindi Iringa; ngano Canada badala ya Arusha...n.k halafu wagunduzi wa milima na maziwa yetu wote ni wageni yaani tunasoma mtu ametoka all the way from Europe halafu sisi tuko hapa na yeye ametukuta then tunaambiwa yeye ndiyo aliyegundua mlima Kilimanjaro, ziwa Tanganyika...n.kSikubaliani na wewe. Enzi za mkoloni kulikuwa na Technical schools, Domestic science colleges na sehemu nyingi ambazo kila mtu aliweza kupata nafasi kulingana na alivyofaulu. Sasa hivi hivi vitu vimekufa. Hata primary tulikuwa tuna masomo ya kazi za mikono. Unaandaliwa kufanya useremala, kushona, kulima kiutaalamu, kutengeneza vyungu na kazi nyingi tu. Hata primary kulikuwa na domestic science. Sasa vipo wapi? Usimlaumu mkoloni laumu wanaobadili mitaala kila kukicha bila kuangalia mbele kutatokea nini. Hao wakoloni unaowasema vitu walivyotuachia tuendeleze sisi wenyewe na siasa zetu tumeviua.
Stupidity is not a crime!, man you are dumber!.Sijamaanisha kuwa elimu ya mkoloni ni mbaya kwa 100% lahasha; ninachomaanisha mimi kuna vitu vya kurekebisha katika elimu hiyo tuliyorithi kutoka kwa mkoloni. Kwa mfano baada ya kutufundisha kilimo cha mahindi Marekani tunatakiwa kujifunza kilimo cha mahindi Iringa; ngano Canada badala ya Arusha...n.k halafu wagunduzi wa milima na maziwa yetu wote ni wageni yaani tunasoma mtu ametoka all the way from Europe halafu sisi tuko hapa na yeye ametukuta then tunaambiwa yeye ndiyo aliyegundua mlima Kilimanjaro, ziwa Tanganyika...n.k
Lakini bado, walitukatalia kuendelea kuyatendea haki yafuatayo mila, desturi, tamaduni na mambo yetu mengine na kutuambia kuwa ni ya kishenzi na kutuachia ya kwao na kutuambia ya kwao ni bora kuliko yetu; kwa kiasi fulani kuna mambo yetu yaliyokuwa mazuri na mengine ni mabaya pia lakini hawakutaka hata kidogo tuendelee nayo ila tuchukue yao bila hata kuhoji ubora wake na hata mitaala ya elimu ilianzia kwao pia.
Nakubaliana nawe kwa mengi. Kumbuka elimu wakati wa mkoloni hata hayo mahindi iringa walikuwa hawajaintroduce kiasi hicho. Hivyo walikuwa wakitolea mfano wale wanaozalisha na kuuza nje kwa wingi siyo kwa ajili ya chakula chao tu na ziada kidogo.Sijamaanisha kuwa elimu ya mkoloni ni mbaya kwa 100% lahasha; ninachomaanisha mimi kuna vitu vya kurekebisha katika elimu hiyo tuliyorithi kutoka kwa mkoloni. Kwa mfano baada ya kutufundisha kilimo cha mahindi Marekani tunatakiwa kujifunza kilimo cha mahindi Iringa; ngano Canada badala ya Arusha...n.k halafu wagunduzi wa milima na maziwa yetu wote ni wageni yaani tunasoma mtu ametoka all the way from Europe halafu sisi tuko hapa na yeye ametukuta then tunaambiwa yeye ndiyo aliyegundua mlima Kilimanjaro, ziwa Tanganyika...n.k
Lakini bado, walitukatalia kuendelea kuyatendea haki yafuatayo mila, desturi, tamaduni na mambo yetu mengine na kutuambia kuwa ni ya kishenzi na kutuachia ya kwao na kutuambia ya kwao ni bora kuliko yetu; kwa kiasi fulani kuna mambo yetu yaliyokuwa mazuri na mengine ni mabaya pia lakini hawakutaka hata kidogo tuendelee nayo ila tuchukue yao bila hata kuhoji ubora wake na hata mitaala ya elimu ilianzia kwao pia.
Kwa kufanya mambo kwa kubahatisha, mtazamo wako utakuwa sahihi; ila ikiwa tunataka kufanya kwa lengo la kudumu kwa muda mrefu, kushindana katika level ya kitaifa/kimataifa, kukua na kuwa msaada kwa wengine ndiyo hapo panapohitajika elimu ya ujasiriamali.Mkuu suala LA kujiajir ama kutojiajir n personal issue. Consequences za kuto kuwa na kipato n juu yako mwenywe. Education system haiusiki hata kdogo coz this time around Kuna various sources za wewe kupata taarifa na ujuzi mbali mbali ambazo ztaweza kujenga kimazubuti ama kuharibu kisawa sawa