Hakunaga Zaidi ya Kasie na Mahalat

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,053
40,031
Habari za asubuh

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa

kosa lako naomba msamaha mi hakunaga
ila naomba msamaha yapate ishagaaa
na wewe umenivumilia sana mi, sijaonaga
angeshakuwa kuwa mwingine keshanimwagaa
siku twagombana, siku twapatana (kawaida ya wapendanao)
wanavyokuwa (wao) wanajua tumeachana
kesho watuona si twatekenyana (ukinitekenya mie nakufinya )
kikweli mi na wewe tunape.nda.na.aaaah

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa

mtanashati kama wewe mi kwangu hajatokeaga
na mzuri wa nafsi kama mi' hujamwonaga
tukipata pesa manofu tunakulaga
na tukikosa chai mkate tunalalaga
dunia hii dunia ya leo
muda mwingine wakosa muelekeo
nashukuru nimempata mwenye upeo
daima nataraji mae.nde.le.oooooh

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa

Napenda vile unaniongelesha, Napenda sauti yako....
Nakupenda, daima ntakupenda na hakika sitokuacha..... na kwako nimekamatika.

Wakati huu hakuna kuku kutoka nje sio....(chicken out):):):)

Lo u......
 
Katika mtu ambaye nashindwa kumuelewa humu jf we unaongoza

Kuna muda nasoma bandiko lako nahisi kama huyu mtu ana physiological problems then naona hapana, I still give you the benefits of doubt, Ila unazidi kuniangusha

Ila hongera mkuu maana kila aliyekukuna vizuri unamwanzishia Uzi, vipi mpo sea cliff nini?
 
Hahaha we mnoko eti mpo sea cliff
 
huyu mtu kawa mfungwa tena mjinga amejiweka gerezani tena hakuwaza atakuwa mateka:D
 
Katika mtu ambaye nashindwa kumuelewa humu jf we unaongoza
Sema katika watu sio katika mtu, pole kweli umepata mshtuko hadi hukuona kama umekosea kuandika.
Ila usijali hauko peke yako, wengi tuu wasionielewa.
Kuna muda nasoma bandiko lako nahisi kama huyu mtu ana physiolo

gical problems then naona hapana, I still give you the benefits of doubt, Ila unazidi kuniangusha

Polee, sikujua kuwa umeweka matumaini kwa Kasie. .... Kasie ni Kasie yule yule wa siku zote...
Ila hongera mkuu maana kila aliyekukuna vizuri unamwanzishia Uzi, vipi mpo sea cliff nini?

Tupo JF hapa hapa MMU naona na wewe umejumuika nasi, ila ujue kila mtu anajigharamikia kwa kile atumiacho hehehehehheh mchana mwema.
 
huyu mtu kawa mfungwa tena mjinga amejiweka gerezani tena hakuwaza atakuwa mateka:D

Samaki aliyemla bibi alivuliwa na Bukuku mlima mpunga ambaye ni mfugaji stadi na maridadi wa kushona nguo za pamba na hariri zinazopikwa miferejini.
 
Sina usemi asee na mashairi yako....Niimbie bhac mtoto mzuri na mimi..... ......Naona kama nimeanza kukupeenda...

Angalia kama umesimama usije ukaanguka, ni ajuza si mtoto, ni mzee si mzuri, huchukiwa na hajawahi kupendwa....

Hakunaga kama Mahalat wa Kasie.
 
Kasie tatizo lako la kutokuwa na mume naona linakuwa kubwa sasa.
 
Angalia kama umesimama usije ukaanguka, ni ajuza si mtoto, ni mzee si mzuri, huchukiwa na hajawahi kupendwa....

Hakunaga kama Mahalat wa Kasie.
Njoo kwangu bibie,utamsahau huyo Mahalat,

Nitakupa vitu mtitie,mpaka ufike tamat...
 
Sema katika watu sio katika mtu, pole kweli umepata mshtuko hadi hukuona kama umekosea kuandika.
Ila usijali hauko peke yako, wengi tuu wasionielewa.

Polee, sikujua kuwa umeweka matumaini kwa Kasie. .... Kasie ni Kasie yule yule wa siku zote...

Tupo JF hapa hapa MMU naona na wewe umejumuika nasi, ila ujue kila mtu anajigharamikia kwa kile atumiacho hehehehehheh mchana mwema.
Mkuu kasie, vipi what happened to Smart911 ???? Maana ulituambia ndio mwisho wa reli, au umeshuka kwenye treni umepanda boti???

CC Smart911
 
Back
Top Bottom