Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine

Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
 
Wanalowesha magodoro haswaaaaaa! Tena lile Niagara Falls la mtu mzima lililo Changanyika na bia basi inakuwa tabu. Juzi nimetupa godoro jipya kudadeki!
 
Vizuri sana mzee hataki shida anakwambia wamakonde tu hawa wamekuja tatizo nini weka mziki mzee anafurahi kwa mengi anajua watz mmemish hana shida
 
Back
Top Bottom