Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,440
- 24,686
Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama.
Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno.
Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za shamba ataishia kula chakula chako chote bila kukifanyia kazi yoyote.
Na hii imepelekea wengi wao kukazwa kisawa sawa maana hakuna kazi wanaweza zaidi ya vyuma... wanapinda mgongo vizuri tu na kukata uno usiwaone hivyo.
Sipo hapa kuwakejeri niko hapa kusema ukweli mchungu kuna kakikundi mahali fulani wao hutoa huduma ya u bodyguard kwa watu ...
Unaambiwa kalibia wote wanasugua magoti sakafuni huku wakipumliwa kisogoni. Ieleweke kuwa Dunia haina siri.
Kuna mwamba alikuwa offsider wangu aisee ilibidi nimkatae maana si kwa uvivu huo jamaa analala usipoangalia unaweza kumuua kwa kumkanyaga na machine.
Mvivu vibaya mno..Kila nikimwambia foreman kuhusu huyu jamaa anasema wewe huyu mwamba na likifua lake hamna kitu?
Baada ya kubadilishiwa kazi Kila mahali alikuwa anakataliwa na siyo huyo tu.
Upande wa ngumi wanapigika na kukalishwa chapu mno!!