Lunya hana hitsongWekeni hizo hits zake hapa..
Young Lunya - Freestyle Session 3Lunya hana hitsong
Rap ni flows, ndio maana Lil wayne alichukua sana tuzo ila alichokuwa anakiimba ni starehe tu Pussy.Money.Weed ndio content.Lunya anajua sema style yake ni lain verse zake hazina mistar za utata kama wakina fid na killer
Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin SwagzLunya hana hitsong
Kwa heshima fid q anatakiwa kuwa wa kwanzaTop List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ
2.Dizasta vina
3.Stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
Wenye wivu naye hawalitaki hilo.Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na yule mwenzao ila alie make it to the top ni Lunya.
Lunya hajawai kuwa na hitsong, atafute hit kwanza.Young Lunya - Freestyle Session 3
Kaisikize na wewe, kabla haujamsikiliza Mbosso
Mimi nimemfahamu Lunya tangu akilelewa na Said Fella pale mkubwa na wanae. Mungu amsaidie apate walau hitsong moja tumuweke kwenye orodha ya marapa wakali.Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin Swagz
ila alie make it to the top ni Lunya.