Kwa rosa lee naunga mkono hoja. Sijawahi kuelewa wanaomsifia wanaona nini kwake. Hao madada wawili uliowataja naona ni wakali zaidi yake.Mwanahip anatakiwa kurap ukweli na sio kurap uongo uongo ambao haupo, lunya ni rapper mwepesi sana hauwezi kumsimamisha ata na Nikki mbishi, bongo kuna rappers wanakuzwa na media houses tu lakini hakuna kitu ni kama ROSA REE tu hauwezi msimamisha na Frida Amani wala Chemical
Unamjua kontawa lakini?..Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji.
Zama zikapita, zikaja zama za 2010, tukaona vipaji kama Roma, Stamina, Young D, Young Killer, Dogo Janja, Weusi, blah blah, huku Roma akivaa taji.
Wakavuma lakini nao wameanza kufifia, kinaibuka kizazi hiki cha kina Lunya, Rapcha na madogo wengine wengi, lakini itoshe kusema kuwa Lunya ndiyo kavaa taji la Hip Hop sasa, hilo halina ubishi. Aina yake ya kutiririka hakuna wa kumkalisha kwa sasa, hilo halina ubishi aisee!
🤣🤣🤣Ooooh Mai!! hauko serious kijana
We jamaa unajua sema fid ashaachwa saizTop List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ
2.Dizasta vina
3.Stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
Huyu vina ukishampa sikio lako utakubali, kwangu Dizasta ndo my favourite hip hop artist of the all time mpaka sasa hvTop List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ
2.Dizasta vina
3.Stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
Kama umeanza kufatilia mziki raisi magufuliHuyu vina ukishampa sikio lako utakubali, kwangu Dizasta ndo my favourite hip hop artist of the all time mpaka sasa hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndo kitu ambacho wadau wengi wa hip hop hawataki kukubaliana, ukipiga ngum utaishia kusifia tu na waun ambao hata hawaji-subscribe you tube channel yako, hawatofanya upate show, nyimbo haipigwi kwenye media mwisho wa siku huna maishaSoft rap ndio mziki wa kibiashara na ndo inafanya vizuri kwa sasa hizo hiphop ngumu mtaishia kusikilizia getto na masela tu. Nakupa mfano east Africa ukitaja Rapper bora bas ni Kaligraph jones hakuna ubishi na je yeye anarap kwa style gani? Hakuna ubishi tym changes. Huu ni wakati wa lunya
NimemsikilizaKama umeanza kufatilia mziki raisi magufuli
Upo sahihi ukisema hivyo
wa kwanza kunya atakaua conboiIko siku kitakunya kwa vile kinavyojikamuaga.
Top List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ
2.Dizasta vina
3.Stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
Sidhani kama upo serious, au umependa zile kelele zake.Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji.
Zama zikapita, zikaja zama za 2010, tukaona vipaji kama Roma, Stamina, Young D, Young Killer, Dogo Janja, Weusi, blah blah, huku Roma akivaa taji.
Wakavuma lakini nao wameanza kufifia, kinaibuka kizazi hiki cha kina Lunya, Rapcha na madogo wengine wengi, lakini itoshe kusema kuwa Lunya ndiyo kavaa taji la Hip Hop sasa, hilo halina ubishi. Aina yake ya kutiririka hakuna wa kumkalisha kwa sasa, hilo halina ubishi aisee!
Mijadala kama hii ni mizuri kwa afya ya mziki wa hip hop ila Lunya mzuri ila si kwa level kama hiyo unayo izungumzia ww.Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji.
Zama zikapita, zikaja zama za 2010, tukaona vipaji kama Roma, Stamina, Young D, Young Killer, Dogo Janja, Weusi, blah blah, huku Roma akivaa taji.
Wakavuma lakini nao wameanza kufifia, kinaibuka kizazi hiki cha kina Lunya, Rapcha na madogo wengine wengi, lakini itoshe kusema kuwa Lunya ndiyo kavaa taji la Hip Hop sasa, hilo halina ubishi. Aina yake ya kutiririka hakuna wa kumkalisha kwa sasa, hilo halina ubishi aisee!
Dogo mmoja anaharishaharisha kwenye mic,hata yeye mwenyewe ukimuuliza karap nini hatokua na jibuNiko nyuma ya wakati sana. Huyu jamaa anaetajwa sijui wimbo wake hata mmoja
Kijana anachekesha sanaOoooh Mai!! hauko serious kijana
Kaka soft rap ni kitu gani au genre gani ya music?Soft rap ndio mziki wa kibiashara na ndo inafanya vizuri kwa sasa hizo hiphop ngumu mtaishia kusikilizia getto na masela tu. Nakupa mfano east Africa ukitaja Rapper bora bas ni Kaligraph jones hakuna ubishi na je yeye anarap kwa style gani? Hakuna ubishi tym changes. Huu ni wakati wa lunya