magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,053
- 34,490
Mbaya zaidi ni Tbc taifa wakaisoma hiyo habari. Aisee!Huu ni uwongo kama ule uliosambaa Jana kwamba Trump kamsifia magufuli
Mbaya zaidi ni Tbc taifa wakaisoma hiyo habari. Aisee!Huu ni uwongo kama ule uliosambaa Jana kwamba Trump kamsifia magufuli
MSIKUBALI KUZIAMINI habari zinazoandikwa na wanaojiita foxchannel.com NYINGI ya habari zao ni UZUSHI MTUPU!!!!!!!!!!Nimepata taarifa kuwa Watanzania hawahitaji viza ya kwenda Marekani na wataruhusiwa kukaa Marekani miezi sita. Je hizi ni habari za kweli ?
Mmezidi huongo wew rafiki yangu anaenda kesho kila kitu kipotayariNimepata taarifa kuwa Watanzania hawahitaji viza ya kwenda Marekani na wataruhusiwa kukaa Marekani miezi sita. Je hizi ni habari za kweli ?