Shuka utembee!Ivi umeshawahi kua kwenye foleni ya magari hapa dar!?
Wale wenye magari ya v8,ranger rover,BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti
Wenye tax,Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya kuchoma
Sisi wa kwenye daladala sasa!... Tunauziwa sumu za panya,dawa za mende, dawa za fangasi!. Mwishowe tunapewa na vipeperushi vya waganga wa kienyeji!.
Machinga mungu anawaonaa!..
Kuna uhusiano gani kati ya kichwa cha habari ulichokiandika na hizo kalimati ulizozielezea?Ivi umeshawahi kua kwenye foleni ya magari hapa dar!?
Wale wenye magari ya v8,ranger rover,BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti
Wenye tax,Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya kuchoma
Sisi wa kwenye daladala sasa!... Tunauziwa sumu za panya,dawa za mende, dawa za fangasi!. Mwishowe tunapewa na vipeperushi vya waganga wa kienyeji!.
Machinga mungu anawaonaa!..
Hahahaha Kuna kaukweli aisee.Hahaha, wewe mtoa mada ni mtambo sana.
Nilikuwa sina furaha tokea asubuhi lakini uzi huu umenichekesha sana sana.ππππ
Hahaha, kakubwa sana tu.Hahahaha Kuna kaukweli aisee.