hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
mm naona wewe jamaa haujiamini na unategemea sana mijuiza najua maisha utatoka lakini sio kwa style hiyo na hiyo njia unayotaka kupita sio sahihi na utapoze hela nyingi bila mafanikio na wengi hii imewatokea siku zote maisha hayana mkato mganga wa kweli wa matatizo yako ni wewe mwenyewe na dawa ni wewe mwenyewe makosa ambayo walifanya wazazi wako wewe haitakiwi uyarudie.