The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,465
- 17,305
Uko vizuriMimi mwenzenu bado natumia Nokia Lumia
Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli.
Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone jina la Iphone 12s badala ya Iphone 13.
Specifications sheet haina tofauti yoyote na spec sheet ya mwaka jana.
Hadi sasa Samsung Galaxy S21 Ultra amezifunika zote, Iphone 12 line na Iphone 12s line aka Iphone 13.
Apple kwenye ubunifu alishaachwa nyuma na simu hizi za android kitambo sana.
Tusubiri labda mwaka kesho tukiwa wazima, inasemekana Apple atakuja na Iphone yenye muundo mpya kabisa ya kila kitu under display na kuondoa lile dirisha pale juu ama notch.
Vitu vya Apple kuuza haina mahusiano na uzuri wa bidhaa trust me. Hawa jamaa wana stand ya Monitor inauzwa hadi dola 1000,Mbona bado anauza kama alishaachwa kitambo?
Kwa ujumla makampuni yote ya simu kwa sasa yanatoa model zisizo na tofauti kubwaKuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli.
Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone jina la Iphone 12s badala ya Iphone 13.
Specifications sheet haina tofauti yoyote na spec sheet ya mwaka jana.
Hadi sasa Samsung Galaxy S21 Ultra amezifunika zote, Iphone 12 line na Iphone 12s line aka Iphone 13.
Apple kwenye ubunifu alishaachwa nyuma na simu hizi za android kitambo sana.
Tusubiri labda mwaka kesho tukiwa wazima, inasemekana Apple atakuja na Iphone yenye muundo mpya kabisa ya kila kitu under display na kuondoa lile dirisha pale juu ama notch.
Tofauti ya Iphone 12 na iphone 13 ni Soc na mpangilio wa camera. Hizo ndio tofauti kubwa.Kwamba wewe unajua kuliko Apple au? Yaani binadamu sijui tukoje. Kila kitu mnakosoa hata bila ya kuwa na uhakika. Aisee Mungu atusaidie tuu.
Cinematic ya 1080p. Thats trash.Tofauti zipo ukisema hamna utakosea sema tofauti sio nyingi kama unavyotaka ww au ulivyofikiria, binafsi nmepanda ile Cinematic Mode inayokuwezesha kurecord video kama movie Japo hauna ujuz wa kushoot movies nmeona ni very Brilliant
Wewe umeongea mkuu.
Iphone zinazouzwa China ni dual simu.Vitu vya Apple kuuza haina mahusiano na uzuri wa bidhaa trust me. Hawa jamaa wana stand ya Monitor inauzwa hadi dola 1000,
Iphone mauzo makubwa yapo Usa, ukitoa USA nchi washirika kama Uingereza, Japan, Korea etc nchi zote hizi iphone inauza sana kwenye Mitandao ya simu, hawauzi hizi simu unlocked kama tunavyonunua sisi.
Na hii mitandao ya simu wanaziuza bei rahisi na sometime wanazitoa hadi bure, Iphone zimefungwa hivyo mtandao wa simu wana ku control kadri wanavyotaka,
1. Iphone sio dual sim, hivyo utatumia mtandao huo huo, simu za Android nyingi dual sim na line 2 inakuwa haipo locked.
2. Ngumu kutoa lock iphone iliyofungwa bila ruhusa ya mtandao. Baadhi ya Android rahisi sana kuzitoa lock.
3. Wakitaka ku restrict features mfano hotspot, kubadili network, kubadili 2g/3g/4g etc ni rahisi
Mambo mengi kifupi Iphone zinapendwa na Mitandao ya simu, hivyo nchi zote zenye mfumo wa mitandao ya simu kuuza simu utaona mauzo ya iphone yapo juu.
Nchi ambazo unanunua simu unlocked unaenda mwenyewe dukani na kuchukua simu mauzo yao si makubwa.
hizo ni fakeIphone zinazouzwa China ni dual simu.
Fair enough, japo zina restriction.Iphone zinazouzwa China ni dual simu.